skills za kitaa

Friday, August 23, 2013

. Ukichagua Njia Ya Porini Ujiandae Na Kulala Porini...!



maandalizi_daed2.jpg
Ndugu zangu,
Punde tu nitaianza safari ya kwenda Madibira kupitia Kinyanambo na Saadani. Nitapita njia ya porini. Na kama ilivyo safari, unayajua ya ulikotoka, si ya unakokwenda. Hivyo basi, ndio maana ya kujiandaa na vyote vitakavyoniwezesha hata kupiga kambi porini.Ni maneno matamu katika harakati za dunia kutoka kwa mdau.

No comments: