Pata habari motomoto za kimichezo, Sanaa,Swaga zakutisha kutoka huko Kitaani
skills za kitaa
Sunday, August 25, 2013
LEWANDOSKI: KWANINI NILIKATAA KUJIUNGA NA MAN U, MADRID NA CHELSEA.
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund
Robert Lewandowski amefunguka na kusema kwamba amekataa kujiunga na
vilabu vya Manchester United, Chelsea na Real Madrid ili aendelee
kucheza kwenye Bundesliga.
No comments:
Post a Comment