skills za kitaa

Friday, August 23, 2013

Nyota huyo ambaye sinema zake zimeonekana kuwa na mapigano ya
kutisha amefunguka kuwa kama kawaida yake yamo matukio yanayoambatana
na matukio sahihi ya kipelelezi yanayovutia wadau kupatwa na hisia mara tu
watakapoiona filamu hiyo.

"Wadau wengi walikuwa wakiniuliza muendelezo wa sinema hii,
napenda kuwatangazia kuwa siku si nyingi wataanza
kuipata sinema hii,"alifunguka J Plus.

Ndani ya ujio huo jamaa amemshirikisha mbambe mwingine wa filamu
za mapigano Ibrahim Mbwana 'Bad Boy' pamoja na nyota kadhaa
kama Charles Magari pamoja na Hashim Kambi na Veronica Viankero.

Jokate aka Kidoti na Lucci wanakuja na project hii...

Am trynna figure out what's coming out from Jokate and Lucci, but my guess will be a HIT SONG. Jokate ni mtangazaji wa Channel O na anafanya muziki pia (hopefully ulisikia track akiwa ameshirikishwa na AY, King and Queens) na Lucci ni Producer.
Kitu kingine ambacho ulikuwa hufahamu ni kwamba Jokate yupo chini ya Label pale Transformax Studio ambayo inamilikiwa na Lucci, hiyo ni kwa mujibu wa Lucci mwenyewe wakati anafanyiwa Interview na The Session last week.

Kupitia page yake ya facebook na baaadhi ya akaunti mbalimbali za wasanii wengine, Jokate alipost picha (juu) akiwa ameisindikiza na caption hii:  
Kaa mkao wa kula... #StayTuned.

I know he's bad, so bad for me, nimekuta hayo maneno kwenye picha hiyo, sijaelewa ni jina la wimbo au ni nini, na wote tumemzoea Jokate kwenye Modelling na Utangazaji, kwenye muziki hatujamzoea kiviiileee, so lets wait and see.
- See more at: http://www.keezywear.com/2013/08/jokate-aka-kidoti-na-lucci-wanakuja-na.html#more

No comments: