skills za kitaa

Friday, August 23, 2013

Mambo ya Kapombe haya teeeeee..



kapombe2 1579f
Shomari Kapombe akitambulishwa rasmi AS Cannes
RASMI, klabu ya Daraja la Nne Ufaransa, AS Cannes imetangaza katika tovuti yake kwamba katika kujiimarisha ili kutoka katika kipindi kigumu, imeboresha kikosi chake kwa kumsajili kiungo Mtanzania, Shomari Salum Kapombe. (HM)

No comments: