skills za kitaa

Thursday, September 10, 2015

Jaribu kuona

Williams aendeleza ubabe wake katika mchezo wa tenesi dhidi ya dada yake

Serena Williams aendeleza ubabe wake katika mchezo wa tenesi dhidi ya dada yake
Serena Williams aendeleza ubabe wake katika mchezo wa tenesi dhidi ya dada yake
Serena williams ameendelea kuwa bora zaidi duniani baada ya kumshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele.
Venus (kulia) akimpongeza Serena (kushoto) kwa ushindi wake
Venus (kulia) akimpongeza Serena (kushoto) kwa ushindi wake
Serena ambaye anashika nafasi ya kwanza kwa rekodi bora duniani amemshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa nafasi ya kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.
Katika hatua ya nusu fainali, Serena atachuana na mwanadada wa nchini Italia Roberta Vinci kesho.

Chris Brown

New Video: Yunar – Nitulie