Maelfu ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini wamejitokeza kwa
wingi jijini Washington DC Siku ya Jumamosi Aug 24, katika maandamano
ya kuunga mkono kumbukumbu ya historia March Miaka 50 tangu kutoa
hutuba mwanaharakati Martin Luther King Jr."I Have a Dream" speech Siku
ya Aug. 28, 1963
Picha ya kumbukumbu ya historia ya
mwanaharakati Martin Luther King Jr. alipokua akitoa hotuba ya "I Have a
Dream" speech Aug. 28, 1963 /photo google.
Maandamano hayo makubwa yaliofanyika National Mall yaliambatana na
hotuba mbalimbali za wanaharakati, na viongozi wakupigania haki
mbalimbali za kiraia nchini Marekani, kulisomwa hutuba mbalimbali na
mwanasheria mkuu wa Serikali Eric Holder, Ufunuo Al Sharpton; Rep John
Lewis, D-Ga;. Nyumba Minority Kiongozi Nancy Pelosi, D-Calif;. House
Minority Whip Steny Hoyer, D-Md; Myrlie Evers-Williams, mjane wa
waliouawa mwanaharakati wa haki za kiraia Evers MEDGAR; Newark, NJ, Meya
na New Jersey Kidemokrasia Seneti mgombea Cory Booker; Mama wa Trayvon
Martin, na viongozi wa makundi ya kiraia-haki za binadamu.
Kumbukumbu ya Hutuba ya Dream" speech ilitolewa mwenzi wa Aug. 28, 1963 ambayo ilihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi National Mall.
Wanaharakati mbalimbali waliokusanyika Lincoln Memorial Washington DC
wakitoa hotuba Historia March Miaka 50 tangu kutoa hutuba mwanaharakati
Martin Luther King Jr."I Have a Dream" speech Washington
Wananchi mbalimbali waliojitokeza Lincoln Memorial katika maandamano
yaliofanyika Washington DC National Mall Siku ya Jumamosi Aug 24, 2013 Wananchi wengi waliojitokeza katika maandamano yaliofanyika Washington DC National Mall Siku ya Jumamosi Aug 24, 2013
Wanachi waliobeba mabango yenye ujumbe unaohuso haki za binaadamu
wakitembea National Mall kuelekea Lincoln Memorial Washington DC
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye maandamo wakiwa wameshikilia
bango lenye ujumbe wa Trayvon Martin kijana alieuwawa kwa kupigwa risasi
na mtu mwepe.
No comments:
Post a Comment