HABARI: Jeshi la Polisi mkoani
Morogoro limekanusha kumpiga risasi Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za
Kiislam Sheikh Ponda Issa Ponda.
Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro ACP
Faustine Shilogile amesema polisi walikwenda kumkamata lakini kwa
kusaidiwa na wafuasi wake aliwatoroka na hawajui alipo. Jeshi hilo bado
linamsaka na halina taarifa kama yupo hai au la.
CHANZO: East Africa Radio.
No comments:
Post a Comment