Linex atokaka na ngoma mpya 'Kimugina'
MSANII LINEX SUNDAY MJEDA AMEACHIA TRACK YAKE MPYA INAYOKWENDA
KWA JINA LA” KIMUGINA”,NGOMA HIYO
MPYA AMBAYO IMETENGENEZWA KWENYE STUDIO ZA SEDUCTIVE RECORD AMBAYO KWA SASA , STUDIO
HII NI GUMZO MTAANI KWA JINSI
INAVYOTENGENEZA NYIMBO ZILIZOSIMAMA
KIKWELIKWELI CHINI YA PRODUCER WA UKWELI MR. T TOUCHES . LINEX KWA
MARA NYINGINE TENA ANAONYESHA UFUNDI NA LADHA YA PEKEE YENYE VIONYO VYA HUBA
NDANI YAKE….ANAMLALAMIKIA KIMUGINA…MTOTO TOKA KANDA YA ZIWA..! HAKIKA WIMBO HUU
NI TASWIRA TOSHA YA LINEX JINSI ANAVYOUMIA KWA MTOTO KIMUGINA. EBU SIKILIZA
WIMBO HUU..!!.
No comments:
Post a Comment