Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu sasa, mshindi wa tuzo tatu za KTMA 2013, Ommy Dimpoz ameachia rasmi single yake mpya ambayo amemshirikisha J Martins kutoka Nigeria. Wimbo huo ambao una maadhi ya kiafrika na bongoflava unaitwa Tupogo, umetengenezwa na Producer Marco Chali.
Artwork ya wimbo wa Tupogo |
Hii itakua ngoma ya nne kwa Ommy Dimpoz ukiacha zile ngoma zake zingine ambazo zilifanya vizuri, hapa nazizungumzia Nai nai, Baadae pamoja na ile ya Me & You. Tupogo nautabiria utakuwa wimbo utakaoshika chati za juu kutokana na uzuri wake.
No comments:
Post a Comment