skills za kitaa

Wednesday, August 28, 2013

Bonge la Video: Young Dee - Kijukuu (directed by Nisher)

Video: Young Dee - Kijukuu (directed by Nisher)

Msanii wa Bongo flava, Young Dee ameachia Video yake ya wimbo unaosumbua sana kwenye speaker za radio, Kijukuu. Wimbo ambao umefanywa MJ Records.
Bonge moja la Video limetengenezwa na Nisher, unaelewa mwenyewe mikono ya huyo jamaa. Video sio ndefu kivile, ni ya 02:53 minutes tu. Kama bado hujaiona mpaka sasa, watch it here!!!
- See more at: http://www.keezywear.com/search?updated-max=2013-08-28T04:57:00%2B03:00&max-results=7#sthash.og2XTiGZ.dpuf

Video: Young Dee - Kijukuu (directed by Nisher)

Msanii wa Bongo flava, Young Dee ameachia Video yake ya wimbo unaosumbua sana kwenye speaker za radio, Kijukuu. Wimbo ambao umefanywa MJ Records.
Bonge moja la Video limetengenezwa na Nisher, unaelewa mwenyewe mikono ya huyo jamaa. Video sio ndefu kivile, ni ya 02:53 minutes tu. Kama bado hujaiona mpaka sasa, watch it here!!!
- See more at: http://www.keezywear.com/search?updated-max=2013-08-28T04:57:00%2B03:00&max-results=7#sthash.og2XTiGZ.dpuf
Msanii wa Bongo flava, Young Dee ameachia Video yake ya wimbo unaosumbua sana kwenye speaker za radio, Kijukuu. 




Wimbo ambao umefanywa MJ Records.
Bonge moja la Video limetengenezwa na Nisher, unaelewa mwenyewe mikono ya huyo jamaa. Video sio ndefu kivile,
ni ya 02:53 minutes tu. Kama bado hujaiona mpaka sasa, watch it here!!!

Video: Young Dee - Kijukuu (directed by Nisher)

Msanii wa Bongo flava, Young Dee ameachia Video yake ya wimbo unaosumbua sana kwenye speaker za radio, Kijukuu. Wimbo ambao umefanywa MJ Records.
Bonge moja la Video limetengenezwa na Nisher, unaelewa mwenyewe mikono ya huyo jamaa. Video sio ndefu kivile, ni ya 02:53 minutes tu. Kama bado hujaiona mpaka sasa, watch it here!!!
- See more at: http://www.keezywear.com/search?updated-max=2013-08-28T04:57:00%2B03:00&max-results=7#sthash.og2XTiGZ.dpuf

Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa

Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)
Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star
wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)


Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo
iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume
 ambaye inasemekana ni mume wa mtu.

Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)

Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)
Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume ambaye inasemekana ni mume wa mtu.
- See more at: http://www.keezywear.com/#sthash.VdVwY9Gh.dpuf

Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)

Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)
Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume ambaye inasemekana ni mume wa mtu.
- See more at: http://www.keezywear.com/#sthash.VdVwY9Gh.dpufMwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)
Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star
wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)

Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo
iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume
 ambaye inasemekana ni mume wa mtu.Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)
Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star
wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)

Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo
iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume
 ambaye inasemekana ni mume wa mtu.

Mwanamke aliyemjeruhi Aunty Ezekiel kwa chupa huyu hapa (picha + kilichotokea)

Inasemekana mwanamke mmoja anayejulikana kwa jina la Ivony Bigirwa ndiye aliyemjeruhi star wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kwa kitu chenye ncha kali ambacho kinahisiwa kuwa ni chupa.
Inasemekana huyu ndiye Ivony, mwanamke aliyemjeruhi Aunty (haijathibitishwa bado)
Mrembo huyo (pichani) alifanya tukio hilo jumapili pale Club Billicanas kwenye show ambayo iliandaliwa na Wema Sepetu na Endless Fame. Imeelezwa kwamba chanzo cha ugomvi huo ni mwanaume ambaye inasemekana ni mume wa mtu.
- See more at: http://www.keezywear.com/#sthash.VdVwY9Gh.dpuf

AUNT EZEKIEL ACHEZEA KICHAPO



MWIGIZAJI wa  sinema za kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi...
 
Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto.

Watu walioshuhudia tukio hilo wamedai  kuwa, wakati Yvonne anatekeleza ukatili huo, Aunt alikuwa amesimama na marafiki zake waliotajwa kwa jina moja moja, Sajenti na Rehema. 
 “Ndani ya ukumbi shoo ilikuwa ikiendelea, Aunt, Rehema na Sajenti walisimama nje, ghafla alitokea Yvonne akiwa na chupa mkononi, akailenga kwenye paji la uso la mwenzake, bahati nzuri Aunt aliiona na kukinga mkono,” kilisema chanzo.

Kikaendelea: Vurugu kubwa ilizuka, ilibidi shoo ndani isimame ili kushughulia suala hilo. Aunt alikimbizwa Aga Khan, Yvonne akapelekwa msobemsobe Kituo cha Polisi cha Oysterbay, Dar ambapo anashikiliwa.

Baada ya taarifa hizo, juzi mchana, mwandishi wetu  alifika  nyumbani kwa Aunt, Mwananyamala na kumkuta ambapo alikuwa na haya ya kusema:

“Ishu ni kweli kama mlivyosikia, lakini kule Agha Khan sikutibiwa, niliambiwa daktari hayupo mpaka saa mbili asubuhi na muda huo ilikuwa saa kumi alfajiri.

“Ilibidi niende kutibiwa kwa Dokta Mvungi, Kinondoni Hospitali ambako nilishonwa nyuzi sita.”

mwandishi: Madai ya Yvonne ni nini hasa?
Aunt: Yaani hata mimi sijui, nilishangaa sana. Kwanza lengo lake lilikuwa kunijeruhi kwenye uso, lakini niliiona chupa nikaikinga na mkono ndiyo maana ikaniumiza.
 mwandishi: Siku za nyuma uliwahi kuingia kwenye mzozo na Yvonne kwamba unamchukulia mpenzi wake aitwaye Joff, siyo kwamba ndiyo kisasi?
 Aunt: Yale mambo yalipita, yeye ana maisha yake na mimi nina yangu.

TIMBERLAKE AMTETEA MILEY CYRUS



Justin Timberlake is coming to Miley Cyrus' defense after her MTV Video Music Awards performance that caused some backlash among some fans and critics.
 
 JT gave an interview today to radio station Fresh 102.7 and said everyone should just lighten up.
 
 “Listen, man, you know, it’s the VMAs. What did you guys expect?,” Justin said. “I like Miley. 
 
I like her a lot. I think, you know, she’s young. She’s letting everyone know that she’s growing up. I just think it’s the VMAs. It’s not like she did it at the GRAMMYs. Let her do her thing. You know?”

SEAN KINGSTONE AJALINI AKIWA KATIKA KILEVI !

 

082813_sean_kingston_launch 
Sean Kingston could've killed somebody last night ... 'cause he got behind the wheel of his Lamborghini after BOOZING, pulled out his cell phone to text and then tore down the Sunset Strip at breakneck speeds.

The 23-year-old hip hop star was leaving Bootsy Bellows nightclub ... when we asked him an easy question about his favorite lyric on the new 2 Chainz album.

Sean's response: "I can't remember man ... too much drinks."

Kingston then got into the driver's seat and pulled out his cell phone -- began playing on it -- and then slammed on the gas, rocketing down the street.

It's unclear if Kingston was joking about the drinking -- but it wouldn't be the first time he's tried to drive on alcohol. Back in June, Sean got out of the driver's seat of his Bentley when he realized he was too drunk to drive. 

This time, however, there was no such moment of clarity ... and if he continues to get behind the wheel after boozing, it'll only be a matter of time before someone pays the price for Sean's stupidity.

Tuesday, August 27, 2013

BOTHA ATUA JIJINI DAR


Bondia wa Dunia wa uzito wa juu  Francois Botha akionyesha jinsi ya kupambana kulia ni Yasini Abdalla Rais wa Shirikisho la ndondi nchini ,kushoto ni mdau wa ndondi , uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere  leo  jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya  Michezo Bi.Juliana Yassoda akiwa na  Bondia wa Dunia   wa uzito wa juu Francois Botha alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  leo  jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuzungumzia masuala ya  mchezo wa ndondi utakaofanyika  30 Agosti mwaka huu katika ukumbi wa Diamond.
 Bondia wa Dunia wa uzito wa juu  Francois Botha  akionyesha mmoja ya mkanda alioishinda kwa   muuandaaji wa pambano hilo J Msangi,kushoto ni Rais wa  Shirikisho la Ndondi  Howard Goldberg katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  leo  jijini Dar es salaam
Bondia wa Dunia  Francois Botha akiwa na muuandaaji wa pambano hilo J Msangi,kushoto ni Rais wa  Shirikisho la Ndondi  Howard Goldberg katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere  leo  jijini Dar es salaam.

RAPPER JOE BUDDEN KUSHUSHA LP&EP MPYA


Screen Shot 2013-08-26 at 4.32.03 PM
Joe Budden’s set to have his plate full later this year. Via his Twitter account, he announced that he’ll be following up No Love Lost with Some Love Lost EP and All Love Lost LP this winter. Asstonishing.

WEMA SEPETU ATAMBULISHA WASANII WAKE



wema2
mirror
barnaba
Wasanii wanaokuja kwa kasi katika muziki wa Bongo flava hapa Tzee Mirrow pamoja na Asali jana waliweza kukonga nyoyo za mashabiki wao walipopanda Jukwaani.
Mirrow na Asali ni wasanii wanatoka katika kampuni ya Endless Fame ambayo ipo chini ya Mwanadada mahiri Wema Sepetu.
Katika uzinduzi huo wasanii wa Endeless Fame walitambulisha nyimbo zao mpya ambazo ziliwagusa mashabiki waliofika katika Club ya Bilicanas, pamoja na uzinduzi huo CEO wa Endless Fame Wema Sepetu alipanda Jukwaani kwa ajili ya kunena na mashabiki wake, ili waweze kuwapokea wasanii wanaotoka katika kampuni yake.
Uzinduzi wa nyimbo mpya za Mirrow na Asali ulisindikizwa na wasanii mbalimbali kama vile, Mwana FA, H.Baba, Country Boy, Barnaba, Mao, TID, Nyandu Tozi, Hassani Mapenzi.

VMA AFTER PARTY @ PHD LAST NIGHT


Beyonce Rita Ora Rihanna and Drake
It was a red and black night out yesterday evening as celebs like Beyonce, Rita Ora, Drake and Rihanna flocked to PHD in the Dream Hotel for the unofficial, official VMA after party hosted by Diddy and Jay-Z.  D’Usse and Ciroc Amaretto cocktails were flowing on the rooftop of the posh event as celebs turned up inside.
Catch who was spotted partying inside below:
Iggy Azalea changed out of her sexy VMA dress and rocked a pant suit as she arrived at the party in a white Rolls Royce.
Rita Ora gave a whole new meaning to “paint the town red” as she arrived at the event.
Drake and Rita Ora PHD VMA AFter Party
Inside, she was spotted getting some love from Drake.
Rihanna PHD MTV Video Music Awards Party
Rihanna was casual in denim jeans and an MC Lyte tee at the MTV Video Music Awards, but opted to get a little more dressed up for the after party. She was spotted in a little black dress as she headed into the after party.
Pharrell Williams and Helen spotted after the VMA's
Pharrell and his girl Helen Lasichanh was spotted outside of the Dream Hotel.  They are now rumored to be married.
Helen and Pharrell inside of PHD

Jay Z Beyonce PHD MTV VMA After Party
Bey and Jay hit the after party after skipping the awards.

Kendrick Lamar at PHD
Kendrick Lamar was spotted partying inside.
Rihanna MTV VMA After Party
Rihanna
Kevin Hart Meek Mill and Trey Songz PHD After Party
Kevin Hart caught up with Trey Songz and Meek Mill.
Cassie PHD AFter Party VMA
Cassie continued her birthday festivities.
Macklemore and Diddy PHD VMA After Party
And Macklemore chopped it up with Diddy. Screen Shot 2013-08-26 at 3.21.05 PM 
J Cole was there and some weird rumor circulated that he almost got into a fight with Di

Lady Gaga afanya kweli MTV


Lady Gaga
Lady Gaga opened the 2013 MTV Video Music Awards with a rip-roaring set. Mother Monster performed her new ARTPOP single “Applause” for the first time at Sunday’s show.
She changed clothes and wigs multiple times—from a nun’s white outfit to a seashell bikini—while recreating looks from the artsy music video.

Soma nyota huyu akielezea kilicho msibu


0825-tyrese-after-the-fall-instagram 
Tyrese straight up FAINTED inside a nightclub Friday and was sent to the hospital --  but don't worry he's fine now ... he just needed some shut-eye, ASAP.

Tyrese made an appearance at The Park nightclub in D.C. -- along with new TGT bandmates Ginuwine and Tank -- when things took a turn for the worse and Tyrese PASSED OUT in the middle of partying, hitting the floor so hard he injured his arm.

A rep for Tyrese tells source ... everything is okay, the whole ordeal was due to pure exhaustion. The rep explains "Tyrese has been going non-stop since July promoting his new TGT album."

Tyrese posted a pic of himself in the hospital afterwards, along with Tank, sporting an arm sling ... ramifications from the fall. We're told he's already back in L.A.

Monday, August 26, 2013

MSOMAJI HII INAKUHUSU:VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME AU MKE



Wengi wamejikuta wakiitwa wahuni kutokana na kuwa na uhusiano wa kimapenzi na makundi ya wanaume au wanawake. Hata hivyo wachunguzi wa masuala ya mapenzi wanasema idadi kubwa ya wapenzi si kigezo sahihi cha kupima tabia ya mtu na kumhusisha na uhuni.

Watalaam hao wanataja safari ya kupata chaguo halisi la mwanaume/mwanamke wa maisha ndiyo inayowaponza wengi kiasi cha kujikuta wameingia katika kashfa ya kuwa na uhusiano na dazeni ya wapenzi.





Wanasema msichana/mvulana anayeingia katika uwanja wa mapenzi kwa kuwa na hisia za kufanya ngono, hukosa umakini wa nani anafaa kuwa mpenzi wake kutokana na kukosa elimu ya uhusiano kutoka kwa wazazi wake.

Kwa mantiki hiyo, bila upembuzi wa kina, mtu asiye na elimu ya jinsi ya kumpata mpenzi wa kweli hujikuta ameangukia kwa mwanaume/mwanamke asiyemfaa, ambapo baadaye huamua kuachana na huyo na kwenda kwa mwingine kujaribu bahati tena ya kupata penzi la kweli.

Zinatajwa zawadi, hitaji la kusaidiwa kimaisha, mvuto wa kimahaba na mazoea kuwa ni vichocheo vinavyowaangusha wengi kwenye mapenzi na wasiowafaa.

Ukweli ni kwamba mtu aliyenaswa kwa ‘ujinga’, huwa hakatwi kiu ya penzi na mwanaume/mwanamke asiye chaguo sahihi la maisha yake. Hivyo hufikia maamuzi ya kujiingiza katika uhusiano mpya mara 2,3,4,5 na kujikuta wakiambulia wanaume/wanawake wale wale wasio sahihi kwake.

Mwanamnke mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ramla aliwahi kuniomba ushauri, akasema amechoka kuchezewa, maana kila mwanaume anayempata anakuwa si chaguo lake. Lakini kibaya zaidi kuachia ngazi au kutemwa huku akiwa tayari ameshafanya mapenzi na wanaume hao.


Nia ya swali lake ilikuwa ni kuniomba njia za kumtambua mwanaume mkweli bila kufanya naye mapenzi? Aliuliza hivyo huku akiwa na hoja kuwa wanaume wengi hawako tayari kuwa na uhusiano na msichana bila kufanya naye mapenzi na wakati huo huo huficha tabia zao chafu wakilenga kumnasa wamtakaye.

Binafsi nafahamu kuwa kuna wanawake/wanawake wengi ambao hujiingiza katika mapenzi kwa kutekwa na hadaa za mwili na kujikuta wanacheza mchezo wa kitoto wa pata potea.


Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida kwa pande zote mbili yaani kwa mwanamke na mwanaume kwani kuacha au kuachwa bila kufanya mapenzi ni bora kuliko kuwa muonjaji, tabia ambayo huathiri kisaikolojia na ni hatari kwa afya.

Ifuatavyo ni njia ya kisaikolojia ambayo mwanamke anaweza kutumia kumpata mwanaume mwenye kumfaa bila kufanya naye mapenzi tena ni jibu sahihi la kuondokana na mchezo wa kubahatisha kwa wanaume wanaosaka wapenzi wa kweli na si taksi bubu ambazo mchana huweka namba za njano usiku nyeusi.

KWANZA- Ni ya mwanamke/mwanaume mwenyewe kujifahamu na kufahamu vigezo vya mpenzi anayemhitaji katika maisha yake. Ifahamike kuwa kila mwanaume ana wake na kila mwanamke anaye wake wa maisha pia. Hivyo asiyekufaa wewe anawafaa wengine, kinachotakiwa ni wewe kujitambua kwanza ili umtambue umtakaye.

Wanawake/wanaume wengi hawafahamu wanahitaji wapenzi wa aina gani, hivyo wanajikuta kama watu wanaoingia sokoni bila kujua wanataka kununua nini? Ndiyo maana wengi wameangukia kwa matapeli wa mapenzi, wakachezewe na kuumizwa moyo bure.

PILI- Ni kuketi chini na kuorodhesha vigezo stahili vya mwanaume/mwanamke unayemtaka. Baada ya hapo orodhesha tena kasoro za mwanaume/mwanamke unazoweza kuzivumilia na zile ambazo huwezi kuzivumilia kabisa. Hii inatokana na ukweli kwamba mwanadamu hajakamilika, ana upungufu wake.

TATU- Anza kumsaka kwa kutumia milango ya fahamu. Cha kufanya hapa ni kuruhusu macho yawaone wanaume/wanawake na kuwatathmini kwa maumbile yao ya nje na kisha kupata majibu kutoka moyoni juu ya kuvutia kwao ambako hutambulika kwa moyo kurithika na mwili kusisimka.

NNE - Kuanzisha safari ya kuchunguza tabia za nje na za ndani kivitendo. Hapa suala la ukaribu baina ya mwanaume na mwanamke linahitajika. Msingi unaotajwa hapa ni kujenga mazoea ya kawaida yasiyokuwa na masuala ya kimapenzi na ngono. Kutambuana, dini, viwango vya elimu, kabila na makundi ya marafiki ni mambo ya kuzingatia.

Katika uchunguzi huu mwanamke/mwanaume anayetafuta mpenzi hana budi kupitia na kumlinganisha huyo aliyempata na vigezo alivyojiwekea. Zoezi hili liendane na kuweka alama ya pata kila anapobaini kuwa mwanaume/mwanamke anayemchunguza amepata moja ya vigezo vyake. Lakini pia aweke alama ya kosa kwa kila kasoro anayoivumilia na ile asiyoivumilia.

TANO - Ajipe muda wa kutosha kati ya miezi sita na mwaka kumchunguza huyo mwanaume, kisha aketi chini na aanze kujumlisha alama za vigezo alivyovijiwekea na jinsi mwanaume huyo alivyopata au kukosa.

Ikibainika mwanaume aliyechaguliwa amepata zaidi ya nusu ya alama ya vigezo vilivyowekwa, basi ujue kuwa anafaa. Kuhusu alama chache alizikosa anaweza kusaidia kuzikamilisha polepole wakati wa maisha ya ndoa.

Lakini angalizo kubwa kabisa ni kwamba mwanaume/mwanamke akionekana kuanguka katika kasoro zisizoweza kuvumilia kwa zaidi ya alama tatu. Yaani kwa mfano ni mlevi, mwizi, muongo, mbishi na katika hizo kashindwa 3, huyu hafai, ni vema akawekwa kando kwani huwezi kubeba kero 3 kwa pamoja katika maisha.

SITA - Kusajili mapenzi yenye malengo yanayotekelezeka. Lazima baada ya kuchunguzana kwa kina wapenzi watengeneze muongozo wa mapenzi yao. Wasiwe kama wanyama, lazima mipango ya wapi wametoka walipo na wanapokwenda.

Hata hivyo watalaam wanasema lazima wapenzi wapime umakini wao kwa vitendo. Kama wamekubaliana kuoana, suala la mume kwenda kujitambulisha kwa wakwe na hatua ya kuiendea ndoa ionekane. Usiri usiwepo tena. Kila mmoja amuone mwenzake kama sehemu ya maisha yake na mara zote wasaidiane kwa ukaribu.

SABA - Ni vema ndugu wakashirikishwa ili kuwapa nafasi na wao ya kuamua kama mapenzi hayo ni budi yakaendelea au yakasitishwa. Ni ukweli ulio wazi kwamba licha ya wengi kupuuza maamuzi ya ndugu kwa madai ya kuwa hawana nafasi kwa wapenda nao, lakini uchunguzi unaonesha kuwa wapenzi wengi huacha kutokana na sumu za ndugu hasa pale wanapokuwa wameonesha kutounga mkono uhusiano wa wanaotaka kuoana

NANE - Hatua hii ni ya kuweza kuzungumzia ufanyaji mapenzi, hapa nina maana kama wapenzi wamejizuia kwa muda mrefu na wanahisi kuchoka wanaweza kujadiliana kuhusu hilo na kuamua ufanyaji huo wa mapenzi una lengo gani, kama ni kuburudisha miili basi suala la afya na uzazi salama litazamwe.

TISA - Kutimizwa kwa ahadi ya kuoana ni hatua ya tisa ambayo nayo si busara ikachukua muda mwingi kutekelezeka, kwani ucheleweshaji mwingi wa ndoa nao huvunja moyo na mara nyingine umewafanya wengi kutoaminiana.Inatoka kwa mdau.

Jackie Patrick aka Diva Bosslady ndo huyu cheki anavyojiachia



jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls-
jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls-2
jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls-00
jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls-1
jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls
jackie-cliff-patrick-hot-sexy-black-girls-3
 Tanzania beauty, socialite Jackie Patrick aka Diva Bosslady.

Sunday, August 25, 2013

LINAH NA AMINI KWA RAHA ZAO..


Wasanii lukuki wa muziki wa kizazi kipya usiku wa jana wamewapatia burudani wakazi wa Tabora kwenye show ya Fiesta iliyofanyika kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi. Miongoni mwa mambo yaliyozalisha shangwe la kufa mtu ni pamoja na Amini kumbusu mdomoni mpenzi wake wa zamani Linah waliyependa naye kwenye stage.

FIESTA 2013


 Mmmh... Linah umetisha wawili double .....?
 Recho ..... utamtaja tu wewe jishebedue!!!!
 Haaaaa... Shilole unamkonyeza huyo hapo ama nini.....??
 Shilole hizo ndiyo pamba za America au??
 Nay vipi tena hicho kibinti au ndiyo baridi la Serengeti Fiesta 2013 .....??
 Msechu tumekuona ....
 Zirro,Muli B, mnatisha hata bila pozi.....
 Aaah Shafii umekutana na mdau mwenzako wa soka nini mbona unatabasamu sanaaa????
 Nani anadowea kwa mwenzake sasa.... nawauliza nyie hapo B12 & Shetta????
 Recho,Nalee... pozi hilo mnapendana kweli au ndio urafiki wa msimu wa Serengeti Fiesta 2013???
 Shetta si unamke na mtoto wewe eeeh???
 Mmesomeka...,Msechu,Mchomvu,G Walawala & B12 !!!