Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akijiridhisha kwa kupima kiwango cha lami
inayowekwa upya katika barabara ya Kilwa na Kampuni ya Kajima ya Japan
leo jijini Dar es salaam. Wengine wanaoshuhudia kutoka kulia ni mkuu wa
mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki, Balozi wa Japani nchini
Tanzania Masaki Okada na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Kajima. |
No comments:
Post a Comment