Mwenyekiti
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Freeman Mbowe,
akishindikizwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Reagan National Airport na
baadhi ya viongozi wa Tawi la Chadema DMV safarini kuelekea Nchini
Tanzania, baada ya mkutano rasmi uliofanyika Siku ya Jumamosi Sept 1,
2012, kwenye ukumbi wa Hoteli ya Hampton Inn College Park, Maryland
Nchini Marekani.
Mbunge
wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr II), Liberatus Mwang'ombe, Ludigo
Mwaigama, na Mwenyekiti Cosmas Wambura, wakimshindikiza Mh. Freeman
Mbowe leo Jumatatu Sept 3, 2012 kuelekea nyumbani Tanzania
Mh.
Freeman Mbowe akipta picha ya pamoja na Viungozi wa Tawi la Chadema DMV
wakatiwa safari yake ya kurudi Nchini Tanzania, (Wa kwanza kulia)
Muweka hazina Ludigo Mwaigama,akifuatiwa na Katibu wa Chadema DMV Mh.
Isdori Lyamuya, na wamwanzo kulia ni Mwenyekiti Cosmas Wambura
Uongozi wa Chadema DMV wakimtakia Safari njeema Mh. Freeman Mbowe.
(Picha zote na http://swahilivilla.blogspot.com/)
(Picha zote na http://swahilivilla.blogspot.com/)
No comments:
Post a Comment