
Msanii anayetamba katika miondoko ya R&B hapa bongo, Ben Paul
akiwarusha wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza kwa wingi kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika jana usiku kwenye uwanja wa
Jamhuri.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah kutoka THT akitumbuiza jukwaani wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 mjini Dodoma.

Anaitwa Recho kwa jina la kisanii kutoka nyumba ya vipati THT,akiimba jukwaani kwa madaha kabisa.

Msanii Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki wakati wa tamasha hilo

Msanii wa bongofleva aitwaye Shetta akiwaimbisha washabiki wake.Inatoka kwa mdau.
No comments:
Post a Comment