skills za kitaa

Friday, December 27, 2013

Wakristo wa Zanzibar waungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Noeli


  
Waumini wa dini ya Kikristo waishio Zanzibar waliungana na wenzao ulimwenguni kote katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa masihi Yesu Kristo (sikukuu ya Noeli, ndiyo Krismas) hapo jana Desemba 25 katika ibada iliyooongozwa na Padre Cosmas Shayo iliofanyika katika Kanisa la dhehebu la Wakatoliki la Shangani.

Via  wavuti.com

No comments: