Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa
akiwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni
sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa
ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa
CDT mjini Kahama jana jioni.

Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilibrod Slaa
akipungia mamia na wapenzi wa chadema muda mfupi baaada ya kumaliza
kuwahutubia wanachi wa mji wa Kamaha na vitongoji vyake, ikiwa ni
sehemu ya ziara yake ya kukagua na kuimarisja uhai wa chama katika mikoa
ya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Singida, uliofanyika kwenye Uwanja wa
CDT mjini Kahama jana jioni.Picha na Joseph Senga
No comments:
Post a Comment