skills za kitaa

Friday, December 6, 2013

Lissu akiwasilisha maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Kura za Maoni wa mwaka 2013


Msemaji wa Kambi ya Upinzani wa Katiba na Sheria, Tundu Lissu akiwasilisha maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Kura za Maoni wa mwaka 2013 wa Kambi hiyo Bungeni Dodoma jana. Picha na Emmanuel Herman 

No comments: