Brass Bandi ya Jeshi la Magereza Kiwila wakiongoza maandamano ya viongozi waandamizi katika Mahafali ya Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa manispaa ya Iringa.
Mkuu wa chuo Pr,Amandina Lihamba akihutubia wahitimu katika Mahafali ya Tano 7- Des-2013 yaliofanyika viwanja vya michezo chuoni Mkwawa manispaa ya Iringa.
Mlau wa Mahfali akitoa Hotuba fupi kwa wa hitimu.
Mh Balozi Nicholaus Kuhanga kaimu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salaam mgeni rasmi katika mahafali ya tano ya chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa akiwa hudhurisha wana funzi waliofuzu na kustahili kupata Shahada (DIGRII) Zachuo kikuu cha Dar es salaam.
Jumla ya wanafunzi (591) wamestahili kupata Shahada ya Elimu ya Jamii na Ualimu ya chuo kikuu cha Dar es salaam kupitia chuo kikuu kishiriki cha Elimu Mkwawa .
0339. Muhitimu Mbuba Veronica akisoma risala fupi ya shukrani ya wahitimu kwenye mahafali ya tano chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa Desemba 7,2013.
Mbuba Veronica akitoa mkono kwa viongozi baaba ya kusoma na kukabidhi risala kwa mgeni rasimi katika Mahafali chuoni Mkwawa.Picha na Habari Mnyalu.
No comments:
Post a Comment