MREMBO aliyeshiriki Shindano la Maisha
Plus Season 2, Jacqueline Dunstan ‘Jack wa Maisha Plus’ amezua jambo
katika mtandao baada ya kutundika picha akiwa anabusiana na mwanamke
mwenzake.
Jack ambaye kwa sasa yupo nchini Dubai, aliweka picha hiyo katika mtandao wa Instagram hali ambayo iliwashangaza wadau wengi waliopo kwenye mtandao huo ambapo walimchana kuwa aache vitendo vya kisagaji lakini mwenyewe hakujibu.
Jack baada ya kuweka picha hiyo aliandika maneno haya; ‘mwaaah’ ndipo wadau walipoanza kumshambulia na kumtaka aondoe picha hiyo chafu.Inatoka kwa mudau.

No comments:
Post a Comment