Mdau
nambari moja wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na Sam
Mapenzi wakisherekea sikukuu ya X-MASS Escape One jijini Dar.
Wadau Batani na Skylight Band ndani ya kiota cha Escape One kilichopo Mikocheni jijini Dar.
Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake.
Watu wa ukweli kwenye muziki wa wastaarabu.....!!
Wenye mbeleko haya wenye vibwaya mulele twende kazi.....!!!
Mduara ulihusika pia....!!
Shazi la kumwaga usiipimie Skylight Band....!!! tukutane leo jioni Thai Village Masaki tufurahi pamoja.
Winnie wa Skylight Band akipata Ukodak na wifi yake Mrs. Kisso.Inatoka kwa mdau.
No comments:
Post a Comment