skills za kitaa

Monday, December 30, 2013

Filamu ya 'Fast and Furious 7' ya Vin Diesel mbioni kuachiwa


Baada ya kusimamisha shughuli za maandalizi ya muendelezo wa saba ya Filamu ya Fast and Furious kutokana na kifo cha muigizaji 'Paul Walker aliyefariki mwishoni mwa mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

 Leo Desemba 23 Muigizaji na mkuu wa filamu ya Fast na Furious,Vin Diesel ametangaza rasmi tarehe ya kutoka kwa muendelezo wa saba wa filamu hiyo yenye mafanikio makubwa.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Diesel ameweka picha akiwa na Paul Walker na kuandika kuwa hiyo ilikuwa scene yao ya mwisho kuwa na staa huyo na kutangaza rasmi kuwa Fast and Furious sehemu ya 7 itatoka April 10 mwaka 2015.
“The last scene we filmed together…

There was a unique sense of completion, of pride we shared… in the film we were now completing… the magic captured… and, in just how far we've come… Fast and Furious 7 will be released… April 10th 2015! P.s. He'd want you to know first…,” ameandika Diesel.

Friday, December 27, 2013

Skylight Band yaporomosha burudani ya kukata na shoka X-MASS ndani ya kiota cha Escape One

DSC_1461
Mdau nambari moja wa Skylight Band Alois Ngonyani akishow love na Sam Mapenzi wakisherekea sikukuu ya X-MASS Escape One jijini Dar.
DSC_1514
Wadau Batani na Skylight Band ndani ya kiota cha Escape One kilichopo Mikocheni jijini Dar.
DSC_1613
Aneth Kushaba AK47 akishow love na shabiki wake.
DSC_1443
DSC_1452
Watu wa ukweli kwenye muziki wa wastaarabu.....!!
DSC_1454
Wenye mbeleko haya wenye vibwaya mulele twende kazi.....!!!
DSC_1478
Mduara ulihusika pia....!!
DSC_1505
Shazi la kumwaga usiipimie Skylight Band....!!! tukutane leo jioni Thai Village Masaki tufurahi pamoja.
DSC_1489
DSC_1586
DSC_1625
Winnie wa Skylight Band akipata Ukodak na wifi yake Mrs. Kisso.Inatoka kwa mdau.

Msanii Roma Mkatoliki Kujiunga na Chadema Wiki ijayo



 
 Msanii Roma Mkatoliki
----
Akiongea na Mabest zake Wa Mtaani huko Tanga amesema ana mpango Kuingia Kwenye Uringo wa Kisiasa ili apate nafasi Nzuri ya Kuikosoa Serikali baada ya Muziki wake Kupuuzwa na Viongozi wa Taifa hili. "Naplan Kuzamia Kwenye Mambo ya Politics hivi sasa, By the Way Wiki Ijayo naweza Kuchukua Kadi ya Chadema Rasmi"... Pia amesema Atahakikisha Wasanii Wenzake wanaoimba Muziki wa HipHop akina Kala Jeremiah nao Wanaunda timu ya Maangamizi Kuing'oa CCM Madarakani, ila aliwasihi sana Viongozi wa Chadema Kuwa Karibu nao pale Wanapozushiwa Shutuma za ajabu ajabu Kisa Wamejiunga na Chadema.

Mpaka sasa baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva waliojiunga na ambao wanampango wa kujiunga na Chama Cha kuwakomboa wanyonge CHADEMA ni Afande Sele wa Morogoro, Joseph Haule ambaye anajulikana kama Prof J, Soggy Doggy na Wengineo wengi.
Ufuatao ni mmoja ya wimbo wa Roma Mkatoliki ujulikanao kama 2030.Inatoka http://haki-hakingowi.blogspot.com/

Wakristo wa Zanzibar waungana na wenzao ulimwenguni kusherehekea Noeli


  
Waumini wa dini ya Kikristo waishio Zanzibar waliungana na wenzao ulimwenguni kote katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa masihi Yesu Kristo (sikukuu ya Noeli, ndiyo Krismas) hapo jana Desemba 25 katika ibada iliyooongozwa na Padre Cosmas Shayo iliofanyika katika Kanisa la dhehebu la Wakatoliki la Shangani.

Via  wavuti.com

Sunday, December 22, 2013

MANJI AWAOMBA WANACHAMA WA YANGA WASIVUNJIKE MOYO



yusufsanga_07123.jpg
Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement Sanga
Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji amewaomba wanachama, wapenzi na washabiki wasivunjike moyo kwa matokeo ya jana ya mchezo wa kirafiki dhidi ya ya Simba SC, mechi iliyochezwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga makutano ya mitaa wa Twiga/Jangwani Manji amesema anajua wanachama, na wapenzi wameumia sana hakuna aliyefurahishwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-1 lakini isiwakatishe tamaa uongozi unafanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza.

Chat show host Steve Harvey cleared of brutally beating his son, 11, as judge holds his ex-wife in contempt of court


By DAILY MAIL REPORTER
Representatives for comedian-turned-talk-show-host Steve Harvey say that he has been cleared of accusations that he severely beat his then-11-year-old son.
Additionally, Harvey's ex-wife has been thrown in jail in Texas on a contempt of court charge for allegedly violating a court order directing her to not speak publicly about the bitter divorce proceedings the former couple has been going through for the last eight years.
Earlier this year, Harvey's former wife, Mary Vaughn, and his son claimed that the funnyman beat the boy with a belt and a wooden paddle typically associated with fraternity hazing rituals.
Happier times: Steve Harvey and ex-wife Mary are in the midst of a bitter custody battle over their teenage son
Happier times: Steve Harvey and ex-wife Mary are in the midst of a bitter custody battle over their teenage son
Cleared: Reps for Harvey say that allegations that he beat his teenage son are unfounded
Cleared: Reps for Harvey say that allegations that he beat his teenage son are unfounded
The paddling, TMZ reports, was punishment for the boy's lying about turning in a homework assignment at school - when Harvey got a call from the school, his son and wife claim he beat the boy.
According to a police report filed at the time of the incident, officers photographed bruises on the boy's buttocks and thigh, as well as a cut on his leg.
The boy also told police that he had trouble urinating for several days after the alleged beating.
The case was referred to the Texas Department of Family and Protective Services. According to Harvey's representatives, the department closed the case without charging Harvey with any crimes, or removing the boy from his custody.

Friday, December 20, 2013

Bunge la Uganda lapitisha sheria kupinga vitendo vya ushoga nchini humo


Na Emmanuel Richard Makundi
Bunge nchini Uganda limepitisha muswada wa sheria tata kuhusu kupinga vitendo vya ushoga nchini humo, sheria ambayo sasa itashuhudia mtu atakayepatikana na hatia akitumikia kifungo cha maisha jela.
Waandamanaji mjini Kampala walipoandamana hivi karibuni kupinga vitendo vya ushoga nchini humo
Sheria hiyo imepitishwa na wabunge bila kupingwa kufuatia mjadala mrefu uliokuwa bungeni kuhusu kupinga vitendo vya ushoga kufanyika kwenye taifa hilo ikiwemo ndoa za watu wa jinsia moja.
wabunge wengi wameonesha kuunga mkono muswada huo huku wachache wakipinga kwa kile walichodai ni kwenda kinyume na haki za binadamu wakati huu ambapo dunia ni yautandawazi.
David Bahati ni mbunge nchini humo nayeye ndiye aliyewasilisha muswada huo bungeni ili ujadiliwe akitaka kutungwa kwa sheria kali ambazo zitazuia vitendo vya ushoga nchini Uganda.
Sheria hiyo imepitishwa wakati huu ambapo wanaharakati nchini Uganda wamekuwa wakiwatetea watu wanaojihusisha na vitendo vya ushoga, ambapo kupitishwa kwa sheria hii kunakuwa ni pigo kwenye harakati zao.
mbunge Bahati anasema hatimaye nchi ya Uganda imeweka historia kwa kupiga marufuku vitendo vya ushoga ambavyo vimekatazwa na mila za kiafrika pamoja na vitabu ya dini kwa hivyo kuidhinishwa kwa sheria hii kutazuia mmomonyoko wa maadili nchini humo.
Kwa mujibu wa sheria hiyo sasa, mtu atakayepatikana na makosa ya kujihusisha na vitendo vya ushoga atakabiliwa na kifungo cha maisha gerezani.
sheria hiyo imepitishwa huku ikiwa imepita siku moja tu toka wabunge hao wapitishe sheria ya kukataza wanawake kuvaa mavazi ambao yanakaribia kuonesha maumbile yao ya siri.
Sourcer: kiswahili.rfi.fr

MSOME GATTUSO: NITAJIUA IKIWA NITAPATIKANA NA HATIA YA UPANGAJI WA MATOKEO



hi-res-114046324-gennaro-gattuso-of-milan-celebrates-the-victory-after crop exact1 f8b10
Gennaro Gattuso amezungumzia skendo inayomkabili ya upangaji wa matokeo ya mechi akisisitiza, ikiwa atagundulika ana hatia ya kosa hilo, atajiua mwenyewe.

CASSIE NA PENZI MOTOMOTO FUKWE ZA MIAMI


Diddy Host DJ Efeezy Birthday at Eyecandy Saturdas at Dream (57 of 103)
The most “are they or are they not” couple ever (since early Jayonce) hosted and partied together this weekend as they attended DJ E-Feezy’s birthday bash at Dream Nightclub in Miami. Cameras spotted the always gorgeous Cassie and Diddy in a passionate stare down, while Cassie showed off a ring on the one finger that matters.
Engagement?
Now the conversation moves from “are they or are they not” to “will they or won’t they?” These guessing games!

Sunday, December 15, 2013

Tutakukumbuka kwa mengu Madiba


Soma kisha elewa Mbinu

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea.

Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”.

Natambua kuwa ni ngumu au niseme si wanawake wote ambao wamejaaliwa kimaumbile kwamba wanafanikiwa kufika kileleni zaidi ya mara mbili kila wanapofanya mapenzi/ngono (kumbuka ni kati ya dakika 15 na saa moja hivyo Jibaba hapa awe na uwezo wa kujizuia kwa zaidi ya dk 45) na ikiwa jamaa ni “mzamiaji” basi unaweza ukaondoka na goli 3 ktk mzunguuko mmoja.

Lakini kwa nini basi baadhi yao tu ndio wafike kileleni na wengine wasijue hata utamu huo ukoje ???
BOFYA  HAPO  CHINI   KUINGIA  KATIKA  JUKWAA  LA  WAKUBWA LENYE  ELIMU  YA  MAPENZI...
<<  BOFYA  HAPA >>

Pozz la Wiki

Chuchu  Hans akiwa amekumbatia na jamaa anayefanya vema katika filamu za action bongo Chrispin.

Jimmy Masta akiwa na Chrispin Club Billicanas

Jamaa hawa wanatisha katika movie za action Bongo! picha hii mdau 
niliipiga baada ya uzinduzi wa filamu ya 'The Return Of  Kidnapper ' ya mkali Chrispin siku sasa zinayoyoma.

LULU eeeeeeee!


Na Mwandishi Wetu
Imevuja kuwa mwanaume atakayetaka kumuoa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ atalazimika kutoa si chini ya shilingi laki nane (800,000) kama mahari ili kumuoa mwigizaji huyo.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti hili, wanaume wengi wamekuwa wakimendea kufunga ndoa na Lulu lakini wakashindwa njia za kumpata.
Ilidaiwa kuwa kikwazo kikubwa wanachokutana nacho ni namna ya kumfikia na kigezo cha dini kwa sababu Lulu hataki kuolewa na muislam kwani hayupo tayari kubadili dini.
Akizungumza na Amani katika mahojiano maalum, mapema wiki hii, mama wa Lulu, Lucresia Karugila alisema kwa upande wake yupo tayari kupokea mahari yoyote ilimradi mwanaye awe ameridhiana na mwanaume husika.
“Unajua Lulu ameshakua, mambo ya kumwingilia mtoto kwenye vitu binafsi ni ya kizamani.
“Siwezi kupanga mahari, sijui laki nane au laki ngapi. Kiasi chochote ni sawa cha msingi mwanangu awe amekubaliana na huyo mwanaume.
“Hajaniambia kama kuna mtu anataka kuleta mahari,” alisema mama Lulu.
Kwa upande wake Lulu alisema: “Kwa sasa sina wazo la kuolewa ila naweza kuamka kesho nikabadili uamuzi.” Alipoulizwa kama ni kweli atatakiwa kulipiwa mahari ya laki nane alisita kidogo.
Kuhusu kigezo cha dini staa huyo alikiri kuwa kati ya vitu anavyozingatia ni hicho kwani hataki mwanaume wa kumbadilisha dini na mahari yake itategemea na mtoaji

KWA NINI LAKI 8?
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa wanandoa wengi waliofunga pingu za maisha hivi karibuni ulibaini kwamba wengi walilipa mahari ya kati ya shilingi laki sita na milioni moja na nusu huku wastani ukiwa ni shilingi laki nane.Chanzo:www.globalpublishers.info

MTAZAME AGNES MASOGANGE !!


Pichani juu ni taswira za mpya za Video Queen wa Bongo, Agness Gerald 'Masogange' alizotupia kupitia ukurasa wake wa Instagram.Chanzo:www.globalpublishers.info