skills za kitaa

Thursday, January 9, 2014

Stella ambaye ni Dem wa Prezzo ameonekana kumfuata Hasheem Thabeet Marekani


Demu wake prezzo anayejulikana kwa jina la Stella au unaweza kumuita Chagga Barbie alikua kwenye game ya Oklahoma City Thunder vs a Minnesota Timberwolves huko marekani akimtazama kijana wa kitanzania Hasheem Thabeet akicheza kikapu.Katika Mchezo huo ambao  Thunders waliwafunga Timber wolves 115 kwa 111 na baada ya  mechi hiyo stella alipata nafasi ya kuhang na Hasheem Thabeet.
Hasheem Prezzo 2 Hasheem Prezzo 3 Hasheem Prezzo

VIBE

No comments: