Mbwana Aly Samatta Nafurahi
kwamba ndani ya mwaka 2013 nimekua mfungaji bora ndani ya kikosi cha TP
Mazembe kwa kuwa na Magoli 20, Pia mchezaji aliecheza mechi nyingi
katika timu io, Pia moja ya wachezaji wanaowaniwa na timu za Ulaya..
asante #Tanzania Asante #TP Mazembe Asante #Africa.... TP Mazembe wananiita #SAMAGOAL ..... I love football..... Bendera inapepea....
No comments:
Post a Comment