Ney wa mitego ni mmoja wa wasani wanaokubalika sana hapa Tz kwa
kutokea ku-change game zima la hihop,toka ujio wake akiwa bado msanii
mchanga,aliweza kukua kwa kasi sana na baadhi ya nyimbo zilizomfanya
azidi kukaa muda mrefu kwenye media za hapa bongo,zikiwa ni pamoja na
muziki gani aliomshirikisha diamond,salamu zao ambao ni moja ya wimbo
uliomfanya kwa asilimia fulani ku-bost popularity yake na hivi sasa
anatesa na hit single “nakula ujana” na kuzidi ku-make headlines katika
media zakutosha tu Tz,kama ulikuwa hufahamu haya ni yale tu baadhi ya
mambo ambayo ulikuwa uyafahamu kuhusu msanii huyu wa hiphop.
-Katika nyimbo zake zote alizowahi kutoa,”salamu zao” ndio wimbo uliotokea kumpa uwoga mkubwa ikiwa,na hadi kutaka kujishauri kutou-release kabisa kutokana na yale aliyoandika,ikiwa ndiyo mara ya kwanza kwa msanii wa hiphop kuongea live wazi yale yaliyokusudiwa katika maudhui ya nyimbo yake,kabla ya ku-release wimbo huu alijishauri na kufikiria hadi kutotoa kabisa ila mwisho wa siku aliamua kutoa tu,huku watu wakiupokea kila mtu kwa style yake kila mtu akiwa na mawazo yake kwa jisi alivyoupokea ila mwisho wa siku aliweza kutoa maana halisi ya hiphop,kuongelea maisha halisi.
-Baada ya kumaliza michongo yake ya siku nzima,au kwa siku ambazo za kupumzika,kiwanja chake kikubwa ni Nyumbani kwake,kama ilivyo kwa wasanii wengine maarufu weekend ifikapo clubz mbali mbali huwa panahusika sana,au ku-stay na masela maskani kupiga story za hapa na pale ila kwa msanii huyu ni tofauti kabisa.
-Ukiachana na mapenzi yake makubwa aliyonayo kwenye muziki ambao umeweza kumpa mafanikio makubwa,ila mapenzi yake makubwa ni kuangalia movie akiwa kwa home,kupenda kwake kwa kuangalia movie kunaweza kumfanya ashinde siku nzima ndani akiwa naangalia movie na hata kusahau kula,movie azipendazo sana ni movie za action za mbele,ila Bongo movie kwa mbaaali.
-Kwa hapa Tz ana-enjoy sana kuangalia comedy ikiwa ni pamoja na movie zile za comedy,kutokana na mapenzi yake hayo ya comedy ametokea kufahamu kila msanii anayefanya comedy hapa tz hata yule underground uki,wuliza nay wa mitego kama nanamfanyamu atakuambia anamjua.na ni kweli atakutajia hadi jina na aina ya movie aliyo-act,kwenye upande wa Bongo movie anamkubali sana marehemu Kanumba na ndizo movie zake pekee za Bongo alizokuwa ana-enjoy kuangalia,na walikuwa ni marafiki wakaribu sana enzi za uhai wake..RIP to the Legend.
CREDIT : VIBE MAGAZINE

No comments:
Post a Comment