skills za kitaa

Thursday, January 9, 2014

Hawafanani Sauti tu, wanafananana sura

Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu. Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana kama mapacha vile. Soma baadhi ya maoni hayo hapo chini.
 @ ] bintikhaliph Mnafanana kila kitu natamani ungepunguuua ukawa km zamani 
 [ @ ] nditolemassai Mmefanana don tel me ur siblings?.
 [ @ ] happyndunguru Inawezekana nyie ni twins. Mmoja alitoroshwa na nes na kuwa adopted. Hahahaha hii ni movie.. 
 [ @ ] brebree255 mmefanana sana isee... 
 [ @ ] gsengo Yupi kulwa yupi doto? 
 [ @ ] yusbayser Kwel dunian wawiliwali 
 [ @ ] mariamkhalfani Kama mapacha vile mwaaaaah 
 [ @ ] medevanshez Mmefanana
 [ @ ] sporahcute Uuh mmefanana Kama mapacha. 
 [ @ ] nargnyfa Yani mnafanana sauti hadi sura sasa 
 [ @ ] fansuli Umependeza kama mapacha!
 [ @ ] dimplesally Heey u guyz r soo twiny really identical frm another mother I guess... ha ha ha haaa.Stori hii ilionekana kutisha mwakajana.

No comments: