Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza
kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na
Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu.
Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja
kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa
na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao wanafanana
kama mapacha vile.
Soma baadhi ya maoni hayo hapo chini.
@ ] bintikhaliph Mnafanana kila kitu natamani ungepunguuua ukawa km zamani
[ @ ] nditolemassai Mmefanana don tel me ur siblings?.
[ @ ] happyndunguru Inawezekana nyie ni twins. Mmoja alitoroshwa na nes na
kuwa adopted. Hahahaha hii ni movie..
[ @ ] brebree255 mmefanana sana isee...
[ @ ] gsengo Yupi kulwa yupi doto?
[ @ ] yusbayser Kwel dunian wawiliwali
[ @ ] mariamkhalfani Kama mapacha vile mwaaaaah
[ @ ] medevanshez Mmefanana
[ @ ] sporahcute Uuh mmefanana Kama mapacha.
[ @ ] nargnyfa Yani mnafanana sauti hadi sura sasa
[ @ ] fansuli Umependeza kama mapacha!
[ @ ] dimplesally Heey u guyz r soo twiny really identical frm another
mother I guess... ha ha ha haaa.Stori hii ilionekana kutisha mwakajana.