Msemaji wa kundi la WEUSI Nikki wa Pili pichani ambaye pia ni mdogo wa
Joh Makini amesema kuwa ule muda wa mashabiki kuamua mkali kati yake na
kaka yake Joh Makini umefika.Nikki wa Pilli amesema album ya pamoja na
kaka yake iko jikoni,album hiyo inaenda kwa jina la Joh Makini VS Nikki
wa Pili.
Joh Makini.
Nikki wa Pili amesema Jumanne wimbo wa kwanza kutoka kwenye album ya
pamoja na kaka yake inatarajiwa kutoka.Ngoma hiyo inaenda kwa jina la
'Bei ya Mkaa'.Pia aliongeza kutoka WEUSI msanii G Nako anatarajia
kuachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la 'WaraWara na mpira'.
G Nako.
No comments:
Post a Comment