Lulu amuandikia Cheni ujumbe huu siku ya jumapili , maalum kwa ajili ya Birthday yake
Naweza kusema kwamba toka msanii wa Bongo Movies, Lulu ametoka Jela amekuwa na mawazo chanya sana na amekuwa msichana mmoja anayejali sana watu wake wa karibu, inshort she's a grown up girl.
Jana ilikua siku ya kuzaliwa ya msanii mkongwe wa maigizo na filamu, Dr. Cheni. Lulu ambaye kutoka kwake na kuingiwa uraiani kulifanikishwa kwa kiasi kikubwa na msanii huyo alitumia muda wake kumuandikia ujumbe huu Dr. Cheni, maalumu kwa ajili ya Birthday yake:
“Daah.. dnt even know whr to start!!!! okay.... umekuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yangu... mtu mwenye kunipenda kwa dhati na kunithamani...
Kila ninapokuwa najaribu kukuelezea huwa nakosa cha kuongea na najisikia kulia tu....!!! nina uhakika sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea uishi maisha marefu yenye amani, afya na faraja!!!
HAPPY BIRTHDAY DADDY CHENI......♥”
No comments:
Post a Comment