skills za kitaa

Tuesday, July 2, 2013

Cheki washindi wa BET Awards 2013

 

Ugawaji Tuzo kubwa kabisa nchini Marekani, BET Awards zilifanyika jana. BET Awards inajumuisha categories nyingi, kuanzia Muziki wa aina zote (Hip Hop, RnB na Gospel) na Filamu. Kama inavyojieleza yenyewe, BET (Black Entertainment Tv) inaangalia zaidi watu weusi.

Tuzo hizo pia zimetoa mashavu kwa wanamuziki wa Afrika ambapo this time mpaka wasanii wa Uganda walikua nominated! Waliofanya poa kwenye tuzo hizo ni Kendrick Lamar na Drake, angalia orodha nzima hapa chini:

No comments: