Inaaminika kwamba muimbaji wa muziki wa Bongo flava, Diamond ndiye msanii
anayeongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu zaidi hapa East Africa. Umaarufu
wake unazidi kukua pengine ndio sababu alipost picha hii (chini)
Kama
unavyoona picha hiyo, inaonesha anaanguka (obvious kimuziki) ambapo
aliipost kupitia akaunti zake za Instagram, facebook na Twitter ikiwa
imesindikizwa na maneno haya: - See more at:
http://www.keezywear.com/2013/07/picha-je-ni-kweli-watu-wengi-wanasubiri.html#more
Diamond Platnumz
@diamondplatnumz
I know! das what you are waitin for.... so jus keep on Wait! Cc #Hater
..Designed by WASAFI CLASSIC(#WCB) http://fb.me/1F0MXdso5
No comments:
Post a Comment