skills za kitaa

Wednesday, July 17, 2013

Msanii wa ‘Bongo Movies’, Cheni amempongeza

Lulu kwa hili
Baada ya Lulu kutangaza kuwa amebadilika

sana toka alipotoka jela, msanii wa filamu

TZ, Mahsein Awadhi aka Dk. Cheni amesema

anamtakia mafanikio mema kinda la hilo la

filamu, baada ya kujitangaza kuwa

amebadilika.
Dk. Cheni amefurahi kusikia mikakati ya

Lulu na kumsihi ajitahidi kuishi hivyo ili

aweze kufikia malengo yake kama

alivyojipangia. Dk. Cheni aliongeza:

“Kwanza nampongeza na namuombea kwa Mungu

atimize malengo yake. Ni jambo zuri kama

ameamua kujikita katika kazi zaidi ya kitu

chochote,” alisema Dk. Cheni.Inatoka kwa mdau.

Msanii wa ‘Bongo Movies’, Cheni amempongeza Lulu kwa hili

Baada ya Lulu kutangaza kuwa amebadilika sana toka alipotoka jela, msanii wa filamu TZ, Mahsein Awadhi aka Dk. Cheni amesema anamtakia mafanikio mema kinda la hilo la filamu, baada ya kujitangaza kuwa amebadilika.
Dk. Cheni amefurahi kusikia mikakati ya Lulu na kumsihi ajitahidi kuishi hivyo ili aweze kufikia malengo yake kama alivyojipangia. Dk. Cheni aliongeza:

Kwanza nampongeza na namuombea kwa Mungu atimize malengo yake. Ni jambo zuri kama ameamua kujikita katika kazi zaidi ya kitu chochote,” alisema Dk. Cheni
- See more at: http://www.keezywear.com/2013/07/msanii-wa-bongo-movies-cheni.html#more

No comments: