skills za kitaa

Tuesday, July 30, 2013

Soma ujio huu style za Kichuga


FidoVato akiwa amemshirikisha ,mwanadada Dipper toka pande za ilboru, ikiwa ni dancehall ting kali waloipa jina "Style za Kichuga" Imetumika riddim maarufu kwa jina "Bus Stop Riddim Instrumental toka CashFlow Records" Jamaica.

No comments: