Mshambuliaji Paulino aliyesajiliwa na klabu ya Tottenham akitokea
Corinthians ya Brazil. Uhamisho wake umeigharimu Tottenham pauni milioni
17 za Uingereza.
ARSENAL
WAPYA
Yaya Sanogo (Auxerre, huru)
WALIOONDOKA
Andrey Arshavin (ameachwa), Denilson (Sao Paulo, huru)
and Sebastien Squillaci (huru), Martin Angha (Nuremberg, ada
haikutajwa), Craig Eastmond (Colchester, huru), Conor Henderson
(ameachwa), Jernade Meade (Swansea, huru), Sanchez Watt (Colchester,
huru), Johan Djourou (Hamburg, mkopo), Vito Mannone (Sunderland £2m),
Francis Coquelin (Freiburg, mkopo), Junaid Meade (Swansea, huru)
ASTON VILLA
WAPYA
Aleksandar Tonev (Lech Poznan,
£2.5m), Jores Okore (Nordsjaelland, ada haikutajwa), Leandro Bacuna
(Groningen, ada haikutajwa), Nicklas Helenius (Aalborg, ada haikutajwa),
Antonio Luna (Sevilla, ada haikutajwa), Jed Steer (Norwich, huru)
WALIOONDOKA
Richard Dunne (QPR, huru), Eric Lichaj (Nottingham
Forest, huru), Jean Makoun (Rennes, ada haikutajwa), Andy Marshall
(ameachwa), Derrick Williams (Bristol City, huru)
CARDIFF
WAPYA
Andreas Cornelius (FC Copenhagen, £8.5m)
WALIOONDOKA
Stephen McPhail (ameachwa), Heidar Helguson (ameachwa), Nat Jarvis (ameachwa)
CHELSEA
WAPYA
Andre Schurrle (Bayer Leverkusen, £18m), Marco van Ginkel (Vitesse Arnhem £9m), Mark Schwarzer (Chelsea, huru)
WALIOONDOKA
Jeffrey Bruma (PSV, £2.5m), Yossi Benayoun (ameachwa),
Florent Malouda (ameachwa), Hilario (ameachwa), Ross Turnbull
(ameachwa), Thibaut Courtois (Atletico Madrid,mkopo), Patrick van
Aanholt (Vitesse Arnhem, mkopo), Oriol Romeu (Valencia, mkopo), Paulo
Ferreira (amestaafu).
CRYSTAL PALACE
WAPYA
Dwight Gayle (Peterborough,
£8.5m), Stephen Dobbie (Brighton, ada haikutajwa), Jerome Thomas (West
Brom, huru), Jose Campana (Sevilla, £1.75m), Kevin Phillips (Blackpool,
huru)
WALIOONDOKA
Jermaine Easter (Millwall, huru), Alex Marrow (Blackburn, ada haikutajwa), Jason Banton (MK Dons, mkopo)
EVERTON
WAPYA
Arouna Kone (Wigan, £5m), Antolin
Alcaraz (Wigan, huru), Joel Robles (Atletico Madrid, ada haikutajwa),
Gerard Deulofeu (Barcelona, mkopo)
WALIOONDOKA
Thomas Hitzlsperger (amachwa), Jan Mucha (ameachwa), Jake Bidwell (Brentford, ada haikutajwa), Phil Neville (amestaafu)
FULHAM
WAPYA
Sascha Riether (Cologne, £1.3m),
Derek Boateng (Dnipro, ada haikutajwa), Fernando Amorebieta (Athletic
Bilbao, huru), Maarten Stekelenburg (Roma, ada haikutajwa)
WALIOONDOKA
Chris Baird (ameachwa), Simon Davies (ameachwa) Mahamadou
Diarra (ameachwa), Mladen Petric (ameachwa), Mark Schwarzer (Chelsea,
huru), Tom Donegan (ameachwa), Alex Smith (Swindon, huru), Dan Burn
(Birmingham, mkopo)
HULL
WAPYA
George Boyd (Peterborough, huru),
Maynor Figueroa (Wigan, huru), Curtis Davies (Birmingham, ada
haikutajwa), Ahmed Elmohamady (Sunderland, £2m), Allan McGregor
(Besiktas, £1.8m), Steve Harper (Newcastle, huru)
WALIOONDOKA
Sonny Bradley (Portsmouth, huru), Danny East (Portsmouth,
huru), Mark Cullen (Luton, huru), Andy Dawson (Scunthorpe, huru), Jamie
Devitt (ameachwa), Paul McKenna (ameachwa), Seyi Olofinjana (ameachwa),
Jay Simpson (ameachwa), Jack Hobbs (Nottingham Forest)
LIVERPOOL
WAPYA
Kolo Toure (Manchester City,
huru), Luis Alberto (Seville, £6.8m), Iago Aspas (Celta Vigo, £7.5m),
Simon Mignolet (Sunderland, £9m)
WALIOONDOKA
Andy Carroll (West Ham £15.5m), Danny Wilson (Hearts,
huru), Jamie Carragher (amestaafu), Jonjo Shelvey (Swansea, £6m), Suso
(Almeria, mkopo)
MANCHESTER CITY
WAPYA
Fernandinho (Shakhtar
Donetsk, £30m), Jesus Navas (Sevilla, £15m), Alvaro Negredo (Sevilla,
£20.6m), Stevan Jovetic (Fiorentina, £25.8m)
WALIOONDOKA
Carlos Tevez (Juventus, £10m), Kolo Toure (Liverpool,
huru), Wayne Bridge (Reading, huru), Ryan McGivern (Hibernian, huru),
Roque Santa Cruz (Malaga, huru), Karim Rekik (PSV, mkopo), Jeremy Helan
(Sheffield Wednesday, ada haikutajwa), Maicon (Roma, huru)
MANCHESTER UNITED
WAPYA
Guillermo Varela (Penarol, £1m)
WALIOONDOKA
Paul Scholes (amestaafu)
NEWCASTLE
WAPYA
Olivier Kemen (Metz, ada haikutajwa)
WALIOONDOKA
James Perch (Wigan, £700,000), Danny Simpson (QPR, huru), Steve Harper (Hull, huru)
NORWICH
WAPYA
Ricky van Wolfswinkel (Sporting
Lisbon, £8.6m), Javier Garrido (Lazio, ada haikutajwa), Nathan Redmond
(Birmingham, ada haikutajwa), Martin Olsson (Blackburn, ada haikutajwa),
Carlo Nash (Stoke, huru), Leroy Fer (FC Twente, ada haikutajwa), Gary
Hooper (Celtic, £5m)
WALIOONDOKA
Grant Holt (Wigan, £4m), James Vaughan (Huddersfield, ada
haikutajwa), Jed Steer (Aston Villa, huru), Chris Martin (Derby, huru),
Marc Tierney (Bolton, huru), Simeon Jackson (Eintracht Braunschweig,
huru), Korey Smith (Oldham, huru), Elliott Ward (Bournemouth, huru), Tom
Adeyemi (Birmingham, huru), George Francomb (AFC Wimbledon, huru), Lee
Camp (ameachwa), Declan Rudd (Preston, mkopo).
SOUTHAMPTON
WAPYA
Dejan Lovren (Lyon, £8.5m), Victor Wanyama (Celtic, £12m)
WALIOONDOKA
Vegard Forren (Molde, ada haikutajwa), Frazer Richardson
(ameachwa), Danny Butterfield (ameachwa), Danny Seaborne (ameachwa),
Ryan Dickson (ameachwa), Ben Reeves (MK Dons, huru), Sam Hoskins
(Yeovil, huru)
STOKE
WAPYA
Erik Pieters (PSV, £3m), Marc Muniesa (Barcelona, huru)
WALIOONDOKA
Dean Whitehead (Middlesbrough, huru), Carlo Nash
(Norwich, huru), Matthew Upson (Brighton, huru), Rory Delap (ameachwa),
Matthew Lund (Rochdale, huru), Mamady Sidibe (ameachwa), Michael Owen
(amestaafu)
SUNDERLAND
WAPYA
Modibo Diakite (Lazio, huru),
Duncan Watmore (Altrincham, ada haikutajwa), Valentin Roberge (Maritimo,
huru), Cabral (Basle, huru), David Moberg Karlsson (IFK Gothenburg,
huru), Vito Mannone (Arsenal, £2m), Jozy Altidore (AZ Alkmaar, £6m), El
Hadji Ba (Le Havre, ada haikutajwa), Emanuele Giaccherini (Juventus,
£8.6m)
WALIOONDOKA
Ahmed Elmohamady (Hull, £2m), Titus Bramble (ameachwa), Matthew Kilgallon (Blackburn, huru), Ryan Noble (ameachwa)
SWANSEA
WAPYA
Wilfried Bony (Vitesse Arnhem,
£12m), Jose Canas (Real Betis, huru), Jordi Amat (Espanyol, £2.5m),
Jonathan De Guzman (Villarreal, mkopo), Alejandro Pozuelo (Real Betis,
£425,000), Jonjo Shelvey (Liverpool, £6m), Gregor Zabret (NK Domzale,
ada haikutajwa), Alex Gogic (Olympiacos, huru), Jernade Meade (Arsenal,
huru)
WALIOONDOKA
Mark Gower (Charlton, huru), David Cornell (St Mirren, mkopo), Kyle Bartley (Birmingham, mkopo)
TOTTENHAM
WAPYA
Paulinho (Corinthians, £17m), Nacer Chadli (FC Twente, £6m)
WALIOONDOKA
William Gallas (ameachwa), John Bostock (Royal Antwerp,
huru), David Bentley (ameachwa), Jake Nicholson (ameachwa), Massimo
Luongo (Swindon, mkopo)
WEST BROMWICH ALBION
WAPYA
Goran Popov (Dynamo Kiev, mkopo)
WALIOONDOKA
Jerome Thomas (Crystal Palace, huru), Gonzalo Jara
(Nottingham Forest, huru), Marc-Antoine Fortune (Wigan, huru), Zoltan
Gera (ameachwa)
WEST HAM
WAPYA
Andy Carroll (Liverpool, £15.5m),
Razvan Rat (Shakhtar Donetsk, huru), Adrian (Real Betis, ada
haikutajwa), Danny Whitehead (Stockport County, ada haikutajwa)
WALIOONDOKA
Rob Hall (Bolton, huru), Carlton Cole (ameachwa), Gary O'Neil (ameachwa).Inatoka kwa mdau.