Hapa ni New Msasani Club Jijini Dar es Salaam wakwanza kutoka kushoto ni Said Mdoe
mmiliki wa Kampuni ya Screen Master na wapili ni Kiongozi wa bendi ya muziki wa dansi toka bendi ya
FM Academia Nyosh El Saadat wakiwa na miliki wa blog hii , kiwanja cha msasani Club huwa ni ngome ya bendi hiyo na hapa ilikuwa ni Jjumapili flani hivi.
No comments:
Post a Comment