skills za kitaa

Monday, October 8, 2012

Ukali wa Nora Wachanganya midume Leaders Club


Blog hii ilimbamba Viwanja vya Leaders Club Kinondoni Jijini Dar es Salaam.
Kajiachia na pozi la tabasamu la kwelii, siku nyingi alikua ajaoneka na viwanja hivyo midume acha isumbukeeeee ukali wake ndio huooo kwenye pozi.

No comments: