skills za kitaa

Monday, October 1, 2012

Moja ya Bata za Jumapili

Bata za Wikiend Jana Uhuru Peak Kinondoni kushoto ni Chirstian  a.k.a Mbabe Chrispiani  pia alisha shirikishwa kwenye filamu kama 'The Promise of Pean ','Singo Batchelor' na sasa anakuja na
'Mtekaji ' ambayo ni filamu yake mwenyewe akiwa amemshirikisha Jackline Wolper nna jamaa wengine .

No comments: