skills za kitaa

Friday, October 5, 2012

At least 18 injured in Nairobi gas cylinder explosion


Abaya Fashion Show Luncheon ndani ya jiji la Dar Kwa mara ya kwanza fashion show ya ABAYA na wanawake pekee itafanyika jijini Dar na hii imebatizwa jina la ABAYA FASHION SHOW LUNCHEON Shoo itafanyika Ijumaa ijayo, Otoba 12 pale Red Onion ndani ya Jengo la Haidery Plazer Posta mpya. 

Ni Luncheon Event so itafanyika kuanzia mida ya saa tisa na nusu jioni mpaka saa kumi na mbili. Mbunifu An Nisa Abaya, Asia Idarious na Mustafa Hassanali wataonyesha mavazi yao siku hiyo. Dress Code ni Hijjab. Fresh Fashion, Fresh Faces.......... More updates to come.

No comments: