
AY, Mwana FA na washkaji kwenye Fiesta Dar
Rapper/muimbaji na hitmaker wa Party Zone, Ambwene Yesaya aka AY
amesema Jumapili hii kwenye ukumbi wa Billcanas atamtambulisha rasmi
msanii wa kike ambaye atakuwa chini ya kampuni yake ya Unity
Entertainment. Continue reading
No comments:
Post a Comment