Pamekuwa na ugomvi wa kutupia maneno kati ya msanii Nelly na bondia
Floyd Mayweather baada ya wawili hawa kuchukuliana wanawake. Inasemekana
Nelly alimtongoza mpenzi wa Floyd Mayweather na kuanza nae mahusiano
kabla hajaachana na Floyd.
Kwenye mahojiano na ESPN Rapper Nelly amesema
“Hii stori imechukuliwa tofauti sana, Floyd ni mtu asiyependa kuambiwa
hapana, Unajua ni ngumu kuongea na mtu ambaye hajamaliza shule ya
Secondari” Flody anazidi kukasirishwa na kitendo cha Nelly cha
kumchukua mpenzi wake baaday ya 50 Cent kumtania Mayweather kuwa Nelly
kamchukua mpenzi wako.
No comments:
Post a Comment