Mali za mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar ambaye pia ni forward wa klabu ya Span FC Barcelona. Neymar mwenye miaka 22 ni mchezaji wa nne kwenye orodha ya wachezaje wanaolipwa zaidi dunia akipokea dola za Kimarekani milioni 28, milioni 12 ni mshahara wake na milioni 16 ni kupita matangazo na udhamini wa kampuni kama Nike, Castrol, Panasonic, L’Oreal na Volkswagen.
Neymar anamiliki jumba lenye thamani ya dola milioni 2 huko Brazil
kwenye eneo la Sao Paulo. Neymar akiwa Spain huishi kwenye ju,be lenye
thamani ya dola milioni 2.5 huko Barcelona.
Neymar hutumia ndege za kukodi akitaka kusafiri na hivi karibuni amenunua helicopter.
VOLVO XC 60 – $75000
AUDI R8 GT – $246,000
No comments:
Post a Comment