Wakiwa
wenye Nyuso za Furaha.Watangazaji mahiri wa Radio na
Televisheni,Bi.Regina Mwalekwa aliyekuwa mtangazaji wa Radio One na
baadae akahamia Clouds FM/TV na sasa amejiunga na Shirika la Utangazaji
la BBC akiwa na mtangazaji mwenzake kutoka kituo cha televisheni cha
ITV/Radio One Bi.Fatma Almas Nyangasa,kama
walivyonaswa na Camera ya mtandao mmoja wa k jamii ndani ya viwanja vya maonyesho
ya Saba saba yanayoendelea hivi sasa jijini Dar.Bi Regina Mwalekwa kwa
sasa sauti yake itakuwa ikisikika rasmi ndani ya BBC.Tayari baadhi ya Jamiii
imemtakia kheri katika kituo chake kipya cha kazi.
No comments:
Post a Comment