skills za kitaa

Thursday, July 31, 2014

WAJUE WANAWAKE WALIOONESHA HARAKATI ZA UPIGANAJI MJINI




UPO msemo uliotawala vichwa vya watu tangu dahari kwamba wanawake ni tabaka la kukaa nyumbani na kufanya kazi za ndani. Wao jukumu lao ni kumfurahisha mume na lingine ni kuwaandaa watoto kwa ajili ya kwenda shule na kufuatilia nyenendo zao darasani.

Miss Tanzania aliyechukua taji hilo mwaka 2001, Happiness Magesse ndiye aliyefanikiwa zaidi kimataifa kuliko wote, japo wapo wengine wanaojitahidi. Hivi sasa Happiness ‘Millen’ ni mwanamitindo wa kimataifa.
Happiness Magesse.
Ilivyozoeleka ni kwamba wanawake ni goigoi. Utaona bungeni kuna wabunge wa viti maalum ambavyo wengi hutafsiri kuwa ni vya upendeleo. Kwa maana kwamba uwezo wao kushindana kwenye majimbo na kushinda ni mdogo ndiyo maana wanapewa hivyo maalum kwao.
Katika mitihani, kuna unafuu wa alama za ufaulu kwa wanafunzi wa kike. Yaani wanaonekana hawana uwezo wa kushindana na wavulana. Vijijini, wanawake wamekuwa wakitumika kama nyenzo ya kilimo, yaani mama akalime ndiyo alishe familia, baba akacheze bao au kunywa pombe.
Miaka inakwenda, wapo wanawake wengi ambao wameweza kudhihirisha kwamba inawezekana kwa jinsi ya kike kuanzisha kazi na kufanikiwa. Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro ni mfano wenye nguvu kwa wanawake kufanikiwa.
Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mchungaji Getrude Rwakatare na wengineo, ni kichocheo kinachotoa uthibitisho kuwa wanawake wanaweza. Ni suala la kuwaamini na kuwapa nafasi, kwa hakika wanaweza kufanya mambo makubwa mno.
Ukiachana na hao, ipo orodha ya wanawake vijana 10 ambao wanastahili pongezi. Wamepambana katika maeneo yao kiasi cha kupata mafanikio ambayo yameonesha njia. Inabidi tuwatambue na kuthamini jitihada zao kwa maana wameendelea kuthibitisha ndivyo sivyo kwa wale waliokuwa wanaamini kuwa wanawake si lolote kwenye utafutaji.
FLAVIANA MATATA
Mwaka 2007 alipokwenda kushiriki mashindano ya dunia ya Miss Universe na kushika nafasi ya sita, wengi walidhani huo ndiyo mwisho wake. Ilionekana hivyo kwa sababu warembo wengi wameshiriki mashindano ya dunia na baada ya kurudi nchini, hawakusikika tena.

Kwa Flaviana, huo ulikuwa ni mwanzo wa kupiga hatua zaidi kusaka mafanikio yake. Hivi sasa, mrembo huyo ni mwanamitindo wa kimataifa, anayefanya kazi na makampuni makubwa ulimwenguni.



 EMELDA MWAMANGA
Ni mwanzilishi aliye pia Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Relim Entertainment inayomiliki jarida maarufu la Kiingereza, Bang. Jinsi alivyoweza kulisimamisha jarida hilo na kulifanya kuwa maarufu zaidi nchini, inatosha kumpongeza kwamba ameonesha.
Jina lake asilia ni Judith Wambura. Ni mwanamuziki wa kike mwenye mafanikio zaidi ambayo chanzo chake ni muziki. Anamiliki bendi na mgahawa wa kisasa ambao ulimgharimu zaidi ya shilingi milioni 100 kuuanzisha. Bila shaka Jaydee ameonesha njia kwa wanamuziki wengine wa kike hapa nchini.
MADAM RITA
Kuanzisha kitu wakati mwingine inaweza kuwa jambo rahisi lakini uimara wa mtu ni pale anapoweza kulisimamia na kufanikiwa. Rita Paulsen anastahili pongezi kwa namna alivyoweza kuanzisha Shindano la Bongo Star Search na kulifikisha hapa lilipo. Huyu ni mwanamke kijana aliyeonesha njia ya kweli ya mafanikio.

RAHMA AL-KHAROOS
Anamiliki Kampuni ya RBP Oil & Industrial Technology. Uwezo wake uliweza kuwashtua wengi pale alipoweza kujitolea mamilioni ya fedha kuiwezesha Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars. Mwanamke huyu ni mfano tosha kwamba inawezekana kama tu utaamua kupambana.

SHEAR NASSA
Anamiliki maduka ya Shear Illusions, vilevile ana jarida linaloitwa Shear Hair & Beauty. Ukubwa wa maduka yake, heshima na umaarufu wake kwa uuzaji wa vitu vya urembo ni kielelezo cha kumthibitisha Shear kwamba ni mwanamke kijana aliyefanikiwa, kwa hiyo ameonesha njia.

KHADIJA MWANAMBOKA
Mbunifu wa mavazi wa kike mwenye umaarufu kuliko wanawake wote nchini. Ameanza harakati zake akiwa na umri mdogo na kwa alipofikia hivi sasa, ameshaonesha njia kwa wanawake wengine nchini. Jambo muhimu ni kusimamia fani yako mpaka kuifikisha kwenye kiwango bora. Khadija alipofikia kwa ubunifu wa mavazi, anastahili pongezi

FINA MANGO
Alipata umaarufu mkubwa kwenye fani ya utangazaji wa redio lakini alipoamua kuanzisha kampuni yake ya One Plus, ameweza kupata mafanikio makubwa. Tenda ya kuratibu na kusimamia Tuzo za Muziki Tanzania (Tuzo za Kili) kwa miaka mitatu mfululizo imedhihirisha ubora wa kampuni yake

Huyu   ni   mama   Asha  Baraka   mkurugenzi   ASSET  hakika   ni   mpiganaji  sana   wa   maendeleo   ameweza   kuwaajiri   vijana   wengi   sana   kupitia   kampuni   yake   ya   Asset  ambayo   inamiliki   bendi   ya   twanga   pepeta.  licha   hivyo   ASHA   BARAKA   maaarufu   kama  iron   lady   ameweza   kusaidia   vijana  wengi   kupata   mafanikio   ya   mziki   kupitia   bendi   yake   twanga   pepeta.

Tuesday, July 29, 2014

Ugomvi Kati ya Nelly na Floyd Mayweather


Ugomvi Kati Ya Nelly Na Floyd Mayweather

Pamekuwa na ugomvi wa kutupia maneno kati ya msanii Nelly na bondia Floyd Mayweather baada ya wawili hawa kuchukuliana wanawake. Inasemekana Nelly alimtongoza mpenzi wa Floyd Mayweather na kuanza nae mahusiano kabla hajaachana na Floyd.
Kwenye mahojiano na ESPN Rapper Nelly amesema “Hii stori imechukuliwa tofauti sana, Floyd ni mtu asiyependa kuambiwa hapana, Unajua ni ngumu kuongea na mtu ambaye hajamaliza shule ya Secondari” Flody anazidi kukasirishwa na kitendo cha Nelly cha kumchukua mpenzi wake baaday ya 50 Cent kumtania Mayweather kuwa Nelly kamchukua mpenzi wako.

Soma mambo Mbinti Huyu


Keke Palmer Wearing Hot Bikini Runway Magazine Summer 2014
Keke Palmer is definitely letting the world know that the little girl from Akeelah and the Bee is all grown up.  Look at this spread! Ow!
This month, she’s showing off a couple nose rings and tattoos as she flaunts an itty bitty black and white zippered bikini for the Summer issue of Runway Magazine.  She looks hot!
Meanwhile, it looks as though her ambition and drive make it hard for her to meet her match. She recently told the Christian Post that she’s single and it’s been difficult to find someone who matches her ambition:
“I think it’s hard to have a love life in general when you’re focused. I’m a very ambitious person and I think a lot of times it’s hard to find somebody that matches that same ambition. Even aside from the industry itself and feeling like you can or cannot trust people it’s just when you’re focused and when you’re really ambitious those type of things really affect the person you’re dating or the person you’re thinking about dating.”
Whatever happened to her boo thang Rodney!?
Keke is a 20-year old boss. You can just imagine how hard it is for her to meet someone who isn’t intimidated by her success, especially with all she has accomplished and continues to accomplish at such a young age.

Soama hii hapo chini!!


Karrueche IG
Upon Chris Brown’s release from prison early last month, he and on-again/off-again girlfriend Karrueche Tran became inseparable, seemingly closer than ever after enduring such a storm together. As a refreshing change, Breezy was sharing multiple photos of his “real one” on Instagram, proud to show her off to the world. They were together up through 4th of July, sharing pics on their respective pages and having fun, but something switched that up and just like that, all traces of their relationship were gone from social media, prompting “breakup” rumors (of which Kae’s manager currently is denying.) Despite all the drama or whatever it may be, Karrueche is smiling through it and seemingly not letting it affect her! In the past couple of days, the Vietnamese beauty has kicked it in the club and poolside with her bestie Christina Milian, and even stopped by a major media outlet for “work.” Hmm! Check out her pics in the gallery.Karrueche IG
 Karrueche IG

Wednesday, July 16, 2014

Embu cheki A 2 Z ya mdada huyu katika Kombe la Dunia

rr 3 
Picha za Rihanna na wachezaji wa Ujerumani baada ya mechi ya fainali ya kombe la dunia kuisha pale Maracanã Stadium mjini Rio de Janeiro, Brazil. Rihanna alionekana akijiachia na Mario Götze,Lukas Podolski ,Bastian Schweinsteiger .
rihann 3 rihann 4

Rihanna naye kwenye Soka mmm!!

rr 2

Hii picha inamuonyesha star wa Muziki Duniani anayependwa zaidi na vijana Rihanna akiwa na jezi ya timu ya taifa ya ujerumani na picha nyingine ikimuonyesha akiwa kwenye pozi na twit ikisema “For My German 
 Boys” 
.rr rihanna 5

Kwa umiliki wa mali Neymar anatisha!!

Mali  za  mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil Neymar ambaye pia ni forward wa klabu ya Span FC Barcelona. Neymar mwenye miaka 22 ni mchezaji wa nne kwenye orodha ya wachezaje wanaolipwa zaidi dunia akipokea dola za Kimarekani milioni 28, milioni 12 ni mshahara wake na milioni 16 ni kupita matangazo na udhamini wa kampuni kama Nike, Castrol, Panasonic, L’Oreal na Volkswagen.

Neymar anamiliki jumba lenye thamani ya dola milioni 2 huko Brazil kwenye eneo la Sao Paulo. Neymar akiwa Spain huishi kwenye ju,be lenye thamani ya dola milioni 2.5 huko Barcelona.
Neymar hutumia ndege za kukodi akitaka kusafiri na hivi karibuni amenunua  helicopter.

Neymar-Volvo-xc-60 

VOLVO XC 60 – $75000

audi-r8-gt-neymar 
AUDI R8 GT – $246,000
Neymar helicopter neymar house
Moja kati ya nyumba anazomiliki NeymarNeymar yacht neymar 3neymar 5

Sunday, July 13, 2014

Dre alala mikia wizi Feki wa kazi za Beats By Dre


jjWaliokuwa wamiliki wa Beats Eletronics Dr. Dre na mfanya biashara mwenzake Jimmy Iovine wamefungua kesi ya madai dhidi ya mitandao na makampuni ya China yaliyouza bidha feki kwa kutumia jina la bidha ya Beats Eletronics ya Beats By Dre.  Dr Dre akishirikiana na Apple wametoa taarifa kuwa mpaka sasa bidha hizo feki zimetengeneza kiasi cha dola za Marekani bilioni 135.
Dr. Dre ambaye ameuza haki za bidha ya Beats headphones kwa Apple anafanya bidii zote kuzuia bidha feki za China kuharibu bidha zake za Beats By Dre. Tmz imeripoti kuwa kesi ya Dr Dre kwa mtandao huo ambao haujatajwa ni kuzuia na kudai fidia walizo ingiza kupitia kuuza bidha zenye logo ya Beats By Dre ambazo hazina kiwango cha bidha halisi na hivyo kupotosha wateja na kuharibu jina la bidha yake.
Dr Dre akishinda kesi hii ya madai basi fidia atakayolipwa itamfanya awe billionaire.

Wafungaji wa mechi zote za kombe la dunia la mwaka 2014 nchini Brazil yako hapa


Fifa-World-Cup-Brazil-20141Matokeo na wafungaji wa mechi zote za kombe la dunia la mwaka 2014 nchini Brazil yako hapa.

8th July 2014 World Cup 2014

24

5th July 2014 World Cup 2014

9 10

4th July 2014 World Cup 2014

7 8Kupata Story, Nyimbo Na Interviews Za WhatsKiking TV Pamoja na sammisago.com, Bonyeza Hizi Tuwe Pamoja, Asante #FamiliaMoja>> Instagram , Twitter Na Facebook

1st July 2014 World Cup 2014

5 6

30th June 2014 World Cup 2014

3 4

29th June 2014 World Cup 2014

1 2

28th June 2014 World Cup 2014

11 12

26th June 2014 World Cup 2014

48 49 50 51

25th June 2014 World Cup 2014

44 45 46 47

24th June 2014 World Cup 2014

40 41 42 43

23rd June 2014 World Cup 2014

36 37 38 39

22nd June 2014 World Cup 2014

33 34 35

21st June 2014 World Cup 2014

30 31 32

20th June 2014 World Cup 2014

27 28 29

19th June 2014 World Cup 2014

18 19 20

18th June 2014 World Cup 2014

21 22 23

17th June 2014 World Cup 2014

15 16 17

16th June 2014 World Cup 2014

12 13 14

15th June 2014 World Cup 2014

8 9 10 11

14th June 2014 World Cup 2014

5 6 7

13th June 2014 World Cup 2014

2 3 4

12th June 2014 World Cup 2014

1
MAONI