Msanii Q Chillah pamoja na msanii T.I.D hatimae wamemaliza tofauti zao jana katika kipindi cha XXL ya clouds fm na kusema kwamba wameungana na kusameheana.
Wawili hawa walithibitisha hayo wakati wa album review ya kazi za nje ya
wawili hawa.Chillah na TID walisema wamemaliza tofauti zao na hawana
ugomvi tena na wameamua kuungana.
No comments:
Post a Comment