skills za kitaa

Friday, August 7, 2015

Davido alivyokutana na rapa staa wa Marekani Future.



Staa wa muziki kutoka Nigeria anazidi kujichanganya na mastaa wa Marekani baada ya weekend hii kukutana na Future. Future ni msanii wa rnb na rapa ambaye hivi karibuni alionglewa sana baada ya kupata mtoto wa Ciara na kutengana naye.
Davido alikutana na Meek Mill na baadae walifanya kazi, so tunategemea collabo na Future ?
Davido-and-Future-1 Davido-and-Future-2

No comments: