skills za kitaa

Saturday, August 15, 2015

Kylie Jenner's 18th Birthday Celebration


Usiogope


Glory Johnson to Brittney Griner You Don't Deserve an Annulment ... We're in This Together



0607-glory-johnson-brittney-griner-GETTY-01Glory Johnson's reaction to Brittney Griner's annulment filing getting shot down is ... the judge did what's right and fair -- and she says Brittney can't run from their marriage.
The pregnant Tulsa Shock player tells TMZ Sports ... "I am thankful the annulment was rejected because an act of marriage did occur." As we reported ... an Arizona judge just rejected Griner's request to annul their marriage.
Glory adds, "Together we made life changing decisions which impacted our lives collectively, and we both should be held responsible for those decisions."
Translation: I'm having twins, we're still married, and YOU are the breadwinner for this family.
We've reached out to Brittney's camp ... no word back yet.

Soma nyota hawa


Msanii Q Chillah pamoja na msanii T.I.D hatimae wamemaliza tofauti zao jana katika kipindi cha XXL ya clouds fm na kusema kwamba wameungana na kusameheana.
chi
Wawili hawa walithibitisha hayo wakati wa album review ya kazi za nje ya wawili hawa.Chillah na TID walisema wamemaliza tofauti zao na hawana ugomvi tena na wameamua kuungana.

Maisara – Usiwape Nafasi


Things To Know About MC Ren



K Camp Ft T. I- Till I Die


Saturday, August 8, 2015

MWASHIUYA KESHO KUCHEZA NYUMBANI KWAO



Kesho Jumapili, Yanga itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Kimondo FC ya Mbeya, timu hiyo imepania kuonyesha soka safi kuthibitisha ubora mbele ya winga wao wa zamani, Geoffrey Mwashiuya aliyejiunga na Wanajangwani.

Yanga inatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi tayari kwa mchezo huo utakaochezwa kwenye Uwanja wa CCM Vwawa, Mbozi jijini Mbeya ikiwa ni sehemu ya maandalizi yake kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.
Mchezo huo ni sehemu ya makubaliano ya kimkataba ya uhamisho wa Mwashiuya aliyejiunga Yanga na kugeuka lulu kutokana na uwezo wake kuwavutia wengi.
Ofisa Habari wa Kimondo, Chriss Kashililika amesema timu yao ina jeuri ya kuifunga Yanga kwa kuwa ina kikosi imara kwani ina wachezaji wanaofanana kiuchezaji na Mwashiuya zaidi ya nane.
“Maandalizi ya mchezo yapo vizuri kwa sababu timu ipo kambini, Yanga ni timu kubwa na tunaiheshimu lakini kwa jinsi tulivyojipanga kwa mchezo huo uhakika na ushindi ni mkubwa.
“Kama Yanga walidhani wametukomoa kwa Mwashiuya basi wanajidanganya, tuna kina Mwashiuya kama nane, kwa hiyo pengo lake limezibika na tutafanya vizuri,” alijigamba Kashililika. 

na Saleh Ally

Ijue timu atakayochezea Kaseja



Baada ya kupata baraka za Shirikisho la Soka nchini (TFF) za kumruhusu kujiunga popote, kipa Juma Kaseja anajiandaa kutua Mbeya City.

Klabu hiyo ya Ligi Kuu imetangaza kuanza mazungumzo na mchezaji huyo ili aidakie timu yao kwa msimu ujao.
Katibu wa Mbeya City, Emmanuel Kimbe alisema tayari mazungumzo ya awali yamekamilika na kilichobakiwa ni kumalizana na mchezaji huyo ili awe mali yao, wakiamini ataisaidia kwa uzoefu alionao.
Awali ilikuwa ikidaiwa kuwa, kipa huyo anajiandaa kutua Mwadui Shinyanga na pia ikielezwa anasakwa na kocha Patrick Liewig wa Stand United baada ya kukatisha mkataba wake na Yanga.
Hata hivyo Mbeya City imesisitiza kuwa kipa huyo ataidakia timu yao kama mambo yataenda sawa ikizingatiwa kuwa ilishamtema aliyekuwa kipa wao namba moja David Burhan aliyetua Majimaji ya Songea iliyorejea Ligi Kuu.
“Lolote linawezekana, tayari kikosi kina wachezaji 25 lakini kunahitaji la mchezaji mmoja ambapo kocha amependekeza nafasi hiyo kujazwa na kipa na tunaona Kaseja atatufaa sana.
“Hatuna shaka na kiwango chake ni kipa mzoefu,” Kimbe alisisitiza.
Mwanaspoti ilipomsaka Kaseja, kipa huyo alikiri kufanya mazungumzo na Mbeya City na kueleza huenda akaichezea wakimalizana.
“Ni kweli nimeshafanya mazungumzo na Mbeya City ili kusajiliwa huko. Mbeya City ni timu sahihi kwangu na ni timu nzuri ambayo inaleta ushindani. Pia tunafahamiana na kocha Mwambusi toka siku nyingi na niliwahi kuwa naye Moro United,” alisema Kaseja.

Cute Babies



Dooo cheki hii

Dressed in their traditional green and yellow bikinis and high heels, the models were spotted stomping the curb in Brazil’s financial centre.

Friday, August 7, 2015

Ben Paul - Maneno Maneno { Official HD Video }


Rich Mavoko - Marry me (Official Video)


Pamoja Films Production kuingiza Ujio wa Filamu nne sokoni

 Pamoja Films ProduPamoja  Films Production ambayo ni kampuni ya Lufingo , tayari mwezi huu inaingiza ujio wa filam nne ambapo moja ya majina ya filamu hizo ni ujio uitwao'Tanga Raha',iliyochezwa na King Majuto na yeye
mwenyewe huku wasanii wengine pia wakihusika.
Msanii huyu pia amezitaja filamu zingine kuwa ni 'Wazawa' ambapo katika ujio huo
mhusika mkuu ni Happy Nyirenda inayozungumzia maisha ya vijana huku ujio mwingine uiki iitwa 'Kanya Boya' ambapo washiriki humo ni  Mzee Majanga,Kid Rasta Tinn White na inaelezea viajna ambao awana kazi na kujihusisha na mambo ya mapenzi.

Lufingo ameitaja fialmu nyingine kuwa ni 'Kijiwe' ambapo nyota walionesha ubunifu mkubwa
ni pamoja na Kid Rasta pamoja na Mzee Majanga.

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPHAn1kU7YGCdk7pwcBy3ng4OdRi3fdRhZ6n-ae5oGv8Hp497OKlUoUWmhy29pr9XBPMO2HkoLiF8tgFn4kHD_2VKnHHjuSnNz7II6pA2Ne9kdz3fX11HgLsxq8krS0cW5HeEfO7RxDr0a/s640/tangad-2.jpg

Shetani anatumia njia ofauti kuteka roho ya msanii huyu



sark-x-banky_011
Rapa Sarkodie amefunguka kuhusu jambo zima la imani na maisha yake kupitia mitandao yake ya kijamii.
Sarkodie aliandika  ” Sisomi bible ila najua mwisho wa dunia patakuwa na wengi wenye dhambi nyingi, shetani anajaribu kupotosha watoto wa Mungu, ila kama tutaweza mpinga shetani na kumtegemea Mungu kwa kila jambo basi atatuokoa
Sarkodie anaendelea kuandika ” Hatuongea na watu wa ukweli, hatujui tutakufa lini, shetani anatumia njia ofauti kuteka roho yangu ” .
I don’t normally read the Bible but I know that at the end time the world will be full of sin. The devil is trying to mislead the children of God. ‘But if we could also desist from evil and depend on God for everything, then He’ll save us. We do not wrestle against the flesh my lovely people, it’s very dangerous. We don’t know when we will die, if tomorrow or tonight. Satan is using different ways to take my souls from me (GOD)!!! Instagram Facebook Twitter music….everything!!!!”. ”

Davido alivyokutana na rapa staa wa Marekani Future.



Staa wa muziki kutoka Nigeria anazidi kujichanganya na mastaa wa Marekani baada ya weekend hii kukutana na Future. Future ni msanii wa rnb na rapa ambaye hivi karibuni alionglewa sana baada ya kupata mtoto wa Ciara na kutengana naye.
Davido alikutana na Meek Mill na baadae walifanya kazi, so tunategemea collabo na Future ?
Davido-and-Future-1 Davido-and-Future-2

Kama unatafuta nyumba ya kupanga.? 50 Cent yupo tayari kutatua tatizo lako


Nyumba anayoimiliki msaani, 50 Cent, aliyotangaza nia yake yakutaka kuipangisha
Nyumba anayoimiliki msaani, 50 Cent, aliyotangaza nia yake yakutaka kuipangisha
Msanii wa hip hop Marekani 50 Cent amekuwa akiingia kwenye headlines mbalimbali mara baada ya kutangaza kuwa amefilisika na safari hii headlines zinazomhusu 50 Cent ni za yeye kutafuta mpangaji wa nyumba yake iliyopo Connecticut Marekani.

Taarifa hizi zilianza kusambaa kwa fujo siku ya jumatano baada ya kukamilisha mkutano wake na Wanasheria.
Mwanasheria wa 50 Cent, Stephen Savva alisema japo hakuna mkataba wa upangishaji uliofikiwa kupangisha nyumba yake ya Farmington Mansion ambayo 50 aliinunua mwaka 2003
wamekuwa wakifanya mipango ya kupangisha nusu ya nyumba hio yenye vyumba 21, majiko 9 na casino lakini mpaka sasa rapper huyo hajabahatika kupata mpangaji.
Picha za ndani ya 'mjengo' 50 Cent anaotaka kuupangisha
Picha za ndani ya ‘mjengo’ 50 Cent anaotaka kuupangisha
Bado hatujasikia kiasi cha pesa ambacho msanii huyo atatoza kama kodi ya nyumba, ila documents zilizowasilishwa Mahakamani zinasema kuwa 50 Cent amekuwa akilipa dola 72,000 (Tzs.Milioni 144) kwa mwezi tu kama hela ya matunzo ya nyumba hiyo ambayo ni tofauti na kodi yake ya nyumba!
Duh! Unadhani hapa 50 Cent atapata mpangaji kweli kama matunzo yenyewe ndio hayo?