Mwanzoni
ikiwa inaanza unaweza kusema kwamba ni ya kawaida, sasa cha kufanya
jump hadi dakika 2 na sekunde 34 ambapo kwanza utakutana na warning ya
Close your eyes then kinachofuata ni balaa.Msanii
huyu anaitwa Maheeda maarufu kama bad girl wa Nigeria na video hii ina
kick sana youtube hivi sasa lakini kwa uhakika haitachezwa kwenye vituo
vya nchi nyingi sana.
No comments:
Post a Comment