skills za kitaa

Saturday, April 19, 2014

Flaviana Matata hawa VERIFIED FACEBOOK


Kupitia akaunti ya Facebook, Instagram na Twitter ya Flaviana Matata’ Model anayeiwakilisha vye
ma Tanzania kimataifa alipost kwenye mitandao hiyo ya kijamii na kusema kuwa….
“Am back on FACEBOOK and VERIFIED, glad we manage to shut down all fake accounts and get my real account back”.
Huku akiwashukuru Rossana Wang, Michael Carter Mlingwa na Lauren kwa msaada wao mkubwa kufanikisha zoezi hilo ambapo muonekano wa page hiyo ya Flaviana Matata ambayo inaonyesha “Tick ya Blue” kuonyesha kuwa imekua Verified kuwa mtumiaji wa account hiyo ni mwenyewe, na hii ni kutokana na watu wengi kufungua account za mitandao ya kijamii na kutumia majina ya mastar hao. alama ya tick ya blue mbele ya jina la mtumiaji ili kumtambulisha kwa marafiki, ndugu, jamaa, mashabiki wako wanaokufatilia kwenye page husika kuwa mhusika ni mtumiaji halisi wa account hiyo.
Mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter wamekuwa wakifanya hivyo kwa watu maarufu duniani katika nyanja mbalimbali kama muziki, serikali, siasa, uigizaji, dini, mitindo, uandishi wa habari, biashara n.k.
Hapo awali kulikua na akaunti nyingi zinazotumia jina la Flaviana Matata na baada ya akunti ya Flaviana Matata kua verified akaunti nyingine zote zilizokua zikitumia jina lake zilifutwa na Facebook. Flaviana Matata anakua mtanzania wa kwanza kuwa verified katika Facebook, Akaunti nyingine iliyoverified Facebook ni za kampuni ya Tigo Tanzania na Airtel Tanzania.

No comments: