skills za kitaa

Monday, April 21, 2014

SOMA ALICHO ANDIKA MPENZI WA OZIL


Back in form: Ozil displayed several fine touches on his return from a hamstring injury against Hull for Arsenal
Baada ya kukosa mechi saba, Kiungo Mesut Ozil aliesainiwa kutoka Real Madrid ya Hispania kwa ada ya £42.5 million, ameweza kurejea leo wakati Arsenal walipoingia dimbani kuminyana na Hull city ambao alipewa majukumu ya mshambuliaji , 
Loved up: Ozil and Capristo on holiday in New York
Ozil akiwa mapumziko na Mchumba yake jijini New York
Furaha ikiwa kubwa kwa mashabiki wa Arsenal na kocha wa Arsne Wenger ila huko majumbani furaha ilikua kubwa sana kwa mpenzi wake Ozil ambae alidhirisha furaha hio kwa kuweka picha katika mtandao wa instagram na facebook akijaribu kuonesha furaha yake huku akiandika maneno haya 
"Good luck... we are so proud of you" na kuweka picha pia ambayo ipo chini.

Good luck... we are so proud of you: Mandy Capristo's message for boyfriend Mesut Ozil
picha ilioweka mpenzi wa Ozil

No comments: