MWILI wa nguli wa muziki wa hip hop nchini Albert Mangweha 'Ngwair' uliwasili jana kwenye uwanja
wa
ndege wa Mwalimu Julius .K. Nyerere ukitokea Afrika ya Kusini alipopatwa na mauti.
Na mara baada ya kutua kwa mwili huo safari ya kuelekea katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dr es Salaam ilianza.
Wadau washangaa !
Kuona hakuna bongo movie hata mmoja aliyekuwa mstari wa mbele kama kawaida kwenye misiba mingine
katika uwanja huo
hakuonekana ata msanii mmoja wakati marehemu alikuwa ni mtu wa watu na ukizingatia yeye ni msanii
mwenzao .
Wadau
ni T.I.D
Wadau wa habari wakiwajibika
Moja ya heka heka barabarani mwili ukiwa unaelekea Hospitali ya Taifa .
No comments:
Post a Comment