FILAMU mbili za Lost na Crush zilizotengenezwa na Kampuni ya Pilipili Entertainment zimeingia
katia kinyang'anyiro cha kuwania tuzo za tamasha la filamu la nchi za majahazi mwaka huu (Ziff 2013).
Filamu hizo ni miongoni mwa filamu nyingi za kitanzania zilizochaguliwa kuwania tuzo katika tamasha hilo,
Filamu ya Lost iedairektiwa na Sameer Srivastava| wakati filamu ya Crush imedairektiwa na Issa Wambura.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 29 mwezi wa sita hadi tarehe 7 mwezi wa saba mwaka huu huko Zanzibar.
Baadhi ya wasanii walioshiriki ni Ahmed Ulotu 'Mzee Chilo' ,Yusuf Mlela,Baby Madaha , Mama Mpangala pampja na Muhogo Mchungu.
Katka filamu ya Crush nyota waliocheza filamu hiyo ni Remmy Maywill, Sayuni Mero , Mbaraka Matitu
pampja na Mzee Chilo.www.pilipilimoviehouse.blogspot.com
No comments:
Post a Comment