
Mario Balotelli akishangilia bao lake baada ya kuifungia Italia bao la pili katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya England.

Anapaa juu: Balotelli akiruka juu na kumzidi Gary Cahill na kuzamisha mpira nyavuni

Super Mario: Balotelli akipongezwa na wenzake baada ya kufunga.

Tumewafumua 2-1: Mario
Balotelli akionesha vidole vyake kwenye kamera wakati akitembea uwanjani
baada ya dakika 90 akimaanisha wamewafunga England mabao 2-1.
No comments:
Post a Comment